BSS 2019 mrudisheni Hamis msituudhi mashabiki

BSS 2019 mrudisheni Hamis msituudhi mashabiki

Kwa anayefahamu muziki, hapo hataangalia sana jinsi alivyoimba bali hiyo sauti! Ni very powerful voice, na ni wachache sana wanakuwa na sauti yenye nguvu namna hiyo!! Hiyo ni sauti ya kuzaliwa nayo, mengine YOTE yanafundishika!
Hicho ndio kitu pekee Hamis anacho vocal haimbii puani kijana yupo vizuri hawa kina madam Lita wanaangalia business siyo vipaji uyu dogo uwepo wake wanahisi atawaharibia biashara cause watu hatutatizama wengine so ushindani utapotea dawa dogo atoke tuanze bahatisha bahatisha
 
Amebebwa na gitaa tu ila sauti yake ni ya kawaida sana. Kama wangekuja kanisani kwetu kuna kwaya kama 5 hivi nadhani karibu wote wanaoimbia hizo kwaya wamemzidi uwezo na hawajulikani
 
Back
Top Bottom