Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,192
Hela za kudowmload, yaani 33 bado unapigwa.Hio digrii choma, huna akili.Unapenda kitonga maisha sasa yata **##ck!!!
kutapeliwa hakuna uhusiano na umri, humu jamii forum kila mtu anajifanya mjanja mbona kila siku vilio watu wanapigwa,Hela za kudowmload, yaani 33 bado unapigwa.Hio digrii choma, huna akili.Unapenda kitonga maisha sasa yata **##ck!!!
Miaka 33 hajui michezo ya desi.Kama una digrii na unakubali upatu wa kumpa heka mtu aende kukuzalishia haina maaa mkutapeliwa hakuna uhusiano na umri, humu jamii forum kila mtu anajifanya mjanja mbona kila siku vilio watu wanapigwa,
Achilia mbali mm mwenye 34 kuna wastaafu ,askari+waalimu wamepigwa
Ndio mkuu usishangae, siunaona hata wewe kuandika tu kiswahili unashindwa.Na unakitumia kila siku, usijesingizia wewe ni lasaba BMsomi huyo mjuwe jamani.
Ndio mkuu usishangae, siunaona hata wewe kuandika tu kiswahili unashindwa.Na unakitumia kila siku, usijesingizia wewe ni lasaba B
Ndio mimi ni fala nakubali nimetapeliwa. Ila kujifanya msomi wakati hata kuandika kiswahili hujui huo ni uboya.Mi lasaba B sawa ila siwezi kuwa fala kama wewe kudanganyika na dola 100.
Ndio mimi ni fala nakubali nimetapeliwa. Ila kujifanya msomi wakati hata kuandika kiswahili hujui huo ni uboya.
Kuhusu makaratasi usijichanganye mkuu, chuo nilichosoma ni bora tz nzima, na kozi niliyosoma kwa uhandishi huo ingekutoa kamasiJifunze basi kuandika na degree yako ya Amazon college.
Kuhusu makaratasi usijichanganye mkuu, chuo nilichosoma ni bora tz nzima, na kozi niliyosoma kwa uhandishi huo ingekutoa kamasi
Ndio ujue kila mtu anakosea, kama wewe ulivyokosea hapo juu, sio kila kitu wasomi, degree za siku hizi ,ni mambo ya kijingaUhandishi ndo nini na wewe bana.
Na huyu inaonyesha mpaka a naandika hapa Hajatambua kama ni wazee wa Qnet, akikutana na global sijui Aim alliance watamla kichwa tenakmmake Q net daaah Another homie down ***** daaah nimekasirika yan nikisikia msengelema mwingine ananiambia ishue kama ya qnet namrukia roba moja matata sana ndugu zangu wengi wamelizwa
Ukuachilia mbali msala wako we jamaa ni story teller mzuriAsee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.
Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia.
Maisha dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa nilipo,.. Niliwahi bahatisha kazi kwenye berau de change dar lakini 2018 December tulivamiwa ofisini na askari wakatukamata japo baadae tuliachiwa lakini kibarua kikaota majani .
Baada ya hapo nilitafuta kazi bila mafanikio nikashindwa lipa pango ikabidi niendee kukaa kwa sista aka kwa shemeji nimekaa pale sana bila mishe yoyote kama miezi 6, kumbe shemeji, alikuwa anachukia ikabidi wanitengenezee zengwe pamoja na sista.
Siku hiyo asubuhi mimi sina hili wala lile nasikia ugonvi kati ya sista na shemeji, baadae sista akakasirika sana akachukua mabegi akaondoka. Mimi nikabaki najiuliza nimfate sista au niendele kukaa kwa shemeji? Nikasema wee mjinga usinitanie hapa siondoki,
baada ya siku mbili sista kaniambia ameshafika nyumbani, shemeji nae siku hiyohiyo akaniambia kesho inabidi uondoke ninasafari ya kikazi nashukuru alinipatia kiasi kidogo nikachukua vyangu nikasepa kurudi kwa mama maana nilikuwa sina jinsi
Nimerudi home haikupita hata wiki mbili sista huyo akarudi kwa mumewe, nilimuuliza sista kama naweza rudi akasema nitulie kwanza.... hali iwe shwali.
Bahati nzuri mwaka huu brother kapata dili kwenye kampuni kubwa hapo dar es salaam, ikabidi nitumie fursa ya kilimo kupata mtaji kutoka kwake kwa makubaliano kuwa tutakacho pata faida nusu kwa nusu mtaji wake ubaki pale pale
Mpaka sasa ameshanitumia kama millioni 4.5 pia alinunua pikipiki kutoka kwa rafiki yale alikuwa kafulia akanikabidhi kuwa niwe nafanyia patrol kwenye shughuli za shamba.
Nifupishe tu pesa yote kuna jamaa alikuja akatushauri kwenye kikundi kuwa tukiwekeza kwenye kampuni yao kiasi cha 4.5m tutakuwa tunapata dola kati ya 100 na 200 kila mwezi, akatuonesha document yeye anavyolipwa nikaona hii ndio shortcut. Pia katuambia mtaji kwa mtu mmoja mmoja ni 5m hiyo 4.5m ni mkiwa kikundi kuanzia watu 4
Mpaka naandika hapa sijawahi pokea hata shilingi kumi jamaa hatujamuona baada ya danadana kibao juzi hapa tunasikia kakamatwa sijui hata nianzie wapi.
Brother nae kila muda anataka nimtumie picha za mazao juzi nilisikia anaongea na mother kwenye simu kuwa anaumwa hawezi kuja kula Christmas jana usiku akapiga tena kuwa kapata nafuu ameshakata tiketi ya kuja asee nilivyosikia nimechanganyikiwa.
Leo asubuhi nimetoka njee nikakuta mbwa wanafanya mapenzi wamenasiana asee hasira zangu zote nimemaliza kwao nimewatandika bakora za kiwango cha stieglas gorge
hadi raia wakaingila kati, toka asubuh sijarudi nyumbani napiga hesabu sijui nitamwambieje brother
Am not feeling well guys, leo nimetembea kilometres nyingi kutafuta mashamba ya mbali ambayo yanaendana na mazao tuliokubaliana tulime, kesho ndio naenda kumuonesha maana monday anageuza.
Your prayers mwenye shamba asijekutukuta jamani
Daa wanisamehe nilikuwa mchungu kama mbogo. Nilikuwa naona kama wao ndio wameniuzia package ya gold kwa 4mUkuachilia mbali msala wako we jamaa ni story teller mzuri
Hapo kwenye mbwa kunasa
khaaaah, huyo mzee hakua anajua matokeo ya mwanae ya advance? Mbna n maajabu lolYah mambo ua cheti lazima angeumbuka na baba yake alikuwa mtu mwenye pesa yake wakati anasoma chuo akamnunulia nyumba karibu na chuo tena baharini kabisa mtoto asipate tabu kumbe jamaa hata halisomi
Siku ambayo alipana mauaji yafanyike ndiyo siku alipowambia kuwa kamaliza paper la mwisho, kwa furaha wakaandaa mtoko wa dinner na kumpa zawadi ya saa ya Rolex yenye thamani ya $2000. Baba hakufa ila mama na mdogo wake walikufa, hata baada ya mchezo kugunduliwa na polisi na jamaa kukiri na sasa kafungwa kifungo cha maisha, bado baba yake anasema mtoto wake ni good man na ashamsamehe yani hakuwahi msema vibayakhaaaah, huyo mzee hakua anajua matokeo ya mwanae ya advance? Mbna n maajabu lol