Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

Siwezi kumpa mtaji ndugu asilani bora nimpe mtu baki ambae wakati nampa namchana kabisa kuwa akizingua bila clear explanations na Mswaga Ndani, Na Documents zote naziandaa na Asaini kabisa hapo mtamuweka chini vikao vya familia bro wenu na kumtuliza ndio ujinga, Ila hii story yako kama sio ya kutunga sijui japo ina reflect ukweli
Kwema mkuu?
Kuna myu anahitaji mtaji anafanya biashara ya karanga na vitu vidogo vidogo kando ya kituo cha daladala.

Anahitaji Tshs laki 2 tu ili akuze biashara yake.

Yeye binafsi aliniambia ana tatizo la kuanguka hivyo asingeweza kufanya kazi flan ambayo nilitaka nimuunganishe ili hata mwisho wa mwezi impe 120k ya mtaji.

Bado anaishi nyumbani kwao, ana mke tayari.

Kama ungependa nikuunganishe nae mjadiliane

Yupo Dar
 
Uongo uanza pole pole mwisho upelekea makubwa. Kuna watu wameua ili kuficha uongo, niliwahi kuandika kisa cha kijana aliyedanganya kwao kuwa anasoma chuo ikafia muda wa kugraduate, akajua sasa atakamatika ikabidi aandae mauaji ya familia yake yani baba, mama na mdogo wake
Mh ilkuaje hiyo kaka,?
 
Sio kosa lako..

Kuna principle ndogo sana tunakosea pale tunapotaka kusaidia watu wetu wa karibu..

Hatuwaulizi wanataka nini ,wanataka kufanya nini sasa unamkabidhi mtu wazo lamo alifanyie kazi mwisho wa siku ni kuharibu tu...


Sema vijana hamsaidiki
mkuu sio vijana hadi wapo ndugu watu wazima saivi hawaminiki kwa kifupi ukipata ela usi mwamini mtu yoyote utanishukulu baadae.
 
Back
Top Bottom