Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

Siku ambayo alipana mauaji yafanyike ndiyo siku alipowambia kuwa kamaliza paper la mwisho, kwa furaha wakaandaa mtoko wa dinner na kumpa zawadi ya saa ya Rolex yenye thamani ya $2000. Baba hakufa ila mama na mdogo wake walikufa, hata baada ya mchezo kugunduliwa na polisi na jamaa kukiri na sasa kafungwa kifungo cha maisha, bado baba yake anasema mtoto wake ni good man na ashamsamehe yani hakuwahi msema vibaya
Yaan ingekua ni Bongo, bas mtoto angejiua yeye.
 
Msomi mwenye degree za kikuda ndo tabu yake.
Haya CEO ,kumbe nabishana na popoma. Nilikuwa nadhani nitakutana na madini kumbe, miaka yote unamaliza bundle kuandika upupu. Graduates wa teifilo kisanji mnakazi
Screenshot_20201228-035543.jpg
 
Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.

Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia.

Maisha dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa nilipo,.. Niliwahi bahatisha kazi kwenye berau de change dar lakini 2018 December tulivamiwa ofisini na askari wakatukamata japo baadae tuliachiwa lakini kibarua kikaota majani .

Baada ya hapo nilitafuta kazi bila mafanikio nikashindwa lipa pango ikabidi niendee kukaa kwa sista aka kwa shemeji nimekaa pale sana bila mishe yoyote kama miezi 6, kumbe shemeji, alikuwa anachukia ikabidi wanitengenezee zengwe pamoja na sista.

Siku hiyo asubuhi mimi sina hili wala lile nasikia ugonvi kati ya sista na shemeji, baadae sista akakasirika sana akachukua mabegi akaondoka. Mimi nikabaki najiuliza nimfate sista au niendele kukaa kwa shemeji? Nikasema wee mjinga usinitanie hapa siondoki,

baada ya siku mbili sista kaniambia ameshafika nyumbani, shemeji nae siku hiyohiyo akaniambia kesho inabidi uondoke ninasafari ya kikazi nashukuru alinipatia kiasi kidogo nikachukua vyangu nikasepa kurudi kwa mama maana nilikuwa sina jinsi

Nimerudi home haikupita hata wiki mbili sista huyo akarudi kwa mumewe, nilimuuliza sista kama naweza rudi akasema nitulie kwanza.... hali iwe shwali.

Bahati nzuri mwaka huu brother kapata dili kwenye kampuni kubwa hapo dar es salaam, ikabidi nitumie fursa ya kilimo kupata mtaji kutoka kwake kwa makubaliano kuwa tutakacho pata faida nusu kwa nusu mtaji wake ubaki pale pale

Mpaka sasa ameshanitumia kama millioni 4.5 pia alinunua pikipiki kutoka kwa rafiki yale alikuwa kafulia akanikabidhi kuwa niwe nafanyia patrol kwenye shughuli za shamba.

Nifupishe tu pesa yote kuna jamaa alikuja akatushauri kwenye kikundi kuwa tukiwekeza kwenye kampuni yao kiasi cha 4.5m tutakuwa tunapata dola kati ya 100 na 200 kila mwezi, akatuonesha document yeye anavyolipwa nikaona hii ndio shortcut. Pia katuambia mtaji kwa mtu mmoja mmoja ni 5m hiyo 4.5m ni mkiwa kikundi kuanzia watu 4

Mpaka naandika hapa sijawahi pokea hata shilingi kumi jamaa hatujamuona baada ya danadana kibao juzi hapa tunasikia kakamatwa sijui hata nianzie wapi.

Brother nae kila muda anataka nimtumie picha za mazao juzi nilisikia anaongea na mother kwenye simu kuwa anaumwa hawezi kuja kula Christmas jana usiku akapiga tena kuwa kapata nafuu ameshakata tiketi ya kuja asee nilivyosikia nimechanganyikiwa.

Leo asubuhi nimetoka njee nikakuta mbwa wanafanya mapenzi wamenasiana asee hasira zangu zote nimemaliza kwao nimewatandika bakora za kiwango cha stieglas gorge
hadi raia wakaingila kati, toka asubuh sijarudi nyumbani napiga hesabu sijui nitamwambieje brother
Nilitaka kukupa ushauri mzuri Sana, lakini nimeghairi kwa sababu umeniuzi Sana kwa kuwapiga mbwa ambao walikuwa wanapunguza stress zao na Wala hawakukukosea kitu chochote
 
Siwezi kumpa mtaji ndugu asilani bora nimpe mtu baki ambae wakati nampa namchana kabisa kuwa akizingua bila clear explanations na Mswaga Ndani, Na Documents zote naziandaa na Asaini kabisa hapo mtamuweka chini vikao vya familia bro wenu na kumtuliza ndio ujinga, Ila hii story yako kama sio ya kutunga sijui japo ina reflect ukweli
 
Back
Top Bottom