Brother amepata likizo anakuja kagua mashamba na mtaji nilishakula sijui nifanyeje

Hela za kudowmload, yaani 33 bado unapigwa.Hio digrii choma, huna akili.Unapenda kitonga maisha sasa yata **##ck!!!
kutapeliwa hakuna uhusiano na umri, humu jamii forum kila mtu anajifanya mjanja mbona kila siku vilio watu wanapigwa,
Achilia mbali mm mwenye 34 kuna wastaafu ,askari+waalimu wamepigwa
 
kutapeliwa hakuna uhusiano na umri, humu jamii forum kila mtu anajifanya mjanja mbona kila siku vilio watu wanapigwa,
Achilia mbali mm mwenye 34 kuna wastaafu ,askari+waalimu wamepigwa
Miaka 33 hajui michezo ya desi.Kama una digrii na unakubali upatu wa kumpa heka mtu aende kukuzalishia haina maaa m
Kuwa na digrii .Dec niliigomea nikiwa na 27 af elimu ya cheti Luna janaa zangu was wamuw university wakapigwa.Uashangaa wengi wanaopigwa ni wanachuo au wahitimu wa shahada.Utapeli was q- net,gnld nk umekuwa was mda mrefu sasa sii mpya lakin bado watu wanapigwa.
 
Mwambie tu umeiwekeza huko,atakuwa mpole tu si atajua ushapigwa,ila mkuu ujue unatuchanganyaaaaaaaa,kwenye kichwa chako cha habari umesema umekula mtaji,mbona sasa,unatuchanganyia madesa tena na qnet,au ndio umesafiria nyota???
 
Amechukua ameweka Waaah
28e2ff36fa7d425892990564388a0815.jpg
 
kmmake Q net daaah Another homie down ***** daaah nimekasirika yan nikisikia msengelema mwingine ananiambia ishue kama ya qnet namrukia roba moja matata sana ndugu zangu wengi wamelizwa
Na huyu inaonyesha mpaka a naandika hapa Hajatambua kama ni wazee wa Qnet, akikutana na global sijui Aim alliance watamla kichwa tena
 
Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.

Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo limefanya nishindwe kuwa na familia.

Maisha dar yalinitandika haswa ikabidi nirudi kwa mama ndio mpaka sasa nilipo,.. Niliwahi bahatisha kazi kwenye berau de change dar lakini 2018 December tulivamiwa ofisini na askari wakatukamata japo baadae tuliachiwa lakini kibarua kikaota majani .

Baada ya hapo nilitafuta kazi bila mafanikio nikashindwa lipa pango ikabidi niendee kukaa kwa sista aka kwa shemeji nimekaa pale sana bila mishe yoyote kama miezi 6, kumbe shemeji, alikuwa anachukia ikabidi wanitengenezee zengwe pamoja na sista.

Siku hiyo asubuhi mimi sina hili wala lile nasikia ugonvi kati ya sista na shemeji, baadae sista akakasirika sana akachukua mabegi akaondoka. Mimi nikabaki najiuliza nimfate sista au niendele kukaa kwa shemeji? Nikasema wee mjinga usinitanie hapa siondoki,

baada ya siku mbili sista kaniambia ameshafika nyumbani, shemeji nae siku hiyohiyo akaniambia kesho inabidi uondoke ninasafari ya kikazi nashukuru alinipatia kiasi kidogo nikachukua vyangu nikasepa kurudi kwa mama maana nilikuwa sina jinsi

Nimerudi home haikupita hata wiki mbili sista huyo akarudi kwa mumewe, nilimuuliza sista kama naweza rudi akasema nitulie kwanza.... hali iwe shwali.

Bahati nzuri mwaka huu brother kapata dili kwenye kampuni kubwa hapo dar es salaam, ikabidi nitumie fursa ya kilimo kupata mtaji kutoka kwake kwa makubaliano kuwa tutakacho pata faida nusu kwa nusu mtaji wake ubaki pale pale

Mpaka sasa ameshanitumia kama millioni 4.5 pia alinunua pikipiki kutoka kwa rafiki yale alikuwa kafulia akanikabidhi kuwa niwe nafanyia patrol kwenye shughuli za shamba.

Nifupishe tu pesa yote kuna jamaa alikuja akatushauri kwenye kikundi kuwa tukiwekeza kwenye kampuni yao kiasi cha 4.5m tutakuwa tunapata dola kati ya 100 na 200 kila mwezi, akatuonesha document yeye anavyolipwa nikaona hii ndio shortcut. Pia katuambia mtaji kwa mtu mmoja mmoja ni 5m hiyo 4.5m ni mkiwa kikundi kuanzia watu 4

Mpaka naandika hapa sijawahi pokea hata shilingi kumi jamaa hatujamuona baada ya danadana kibao juzi hapa tunasikia kakamatwa sijui hata nianzie wapi.

Brother nae kila muda anataka nimtumie picha za mazao juzi nilisikia anaongea na mother kwenye simu kuwa anaumwa hawezi kuja kula Christmas jana usiku akapiga tena kuwa kapata nafuu ameshakata tiketi ya kuja asee nilivyosikia nimechanganyikiwa.

Leo asubuhi nimetoka njee nikakuta mbwa wanafanya mapenzi wamenasiana asee hasira zangu zote nimemaliza kwao nimewatandika bakora za kiwango cha stieglas gorge
hadi raia wakaingila kati, toka asubuh sijarudi nyumbani napiga hesabu sijui nitamwambieje brother
Ukuachilia mbali msala wako we jamaa ni story teller mzuri

Hapo kwenye mbwa kunasa
 
Am not feeling well guys, leo nimetembea kilometres nyingi kutafuta mashamba ya mbali ambayo yanaendana na mazao tuliokubaliana tulime, kesho ndio naenda kumuonesha maana monday anageuza.

Your prayers mwenye shamba asijekutukuta jamani


Anyway pole mkuu
 
Yah mambo ua cheti lazima angeumbuka na baba yake alikuwa mtu mwenye pesa yake wakati anasoma chuo akamnunulia nyumba karibu na chuo tena baharini kabisa mtoto asipate tabu kumbe jamaa hata halisomi
khaaaah, huyo mzee hakua anajua matokeo ya mwanae ya advance? Mbna n maajabu lol
 
khaaaah, huyo mzee hakua anajua matokeo ya mwanae ya advance? Mbna n maajabu lol
Siku ambayo alipana mauaji yafanyike ndiyo siku alipowambia kuwa kamaliza paper la mwisho, kwa furaha wakaandaa mtoko wa dinner na kumpa zawadi ya saa ya Rolex yenye thamani ya $2000. Baba hakufa ila mama na mdogo wake walikufa, hata baada ya mchezo kugunduliwa na polisi na jamaa kukiri na sasa kafungwa kifungo cha maisha, bado baba yake anasema mtoto wake ni good man na ashamsamehe yani hakuwahi msema vibaya
 
Back
Top Bottom