Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

f2220e55d45f1c91a6500bde47edff4e.jpg
Hahahaahahahahah
 
tatizo kiingereza hamjui mnajifanya majaji wa kiingereza, neno " on behalf of myself.." hutumiwa na viongozi kumaanisha yeye kwa nafasi aliyonayo mfano rais, waziri mkuu, n.k.

Kasome upya jamaa yangu bado una safari ndefu.
Hajakosea hapo ila the best sounding phrase was to say "on behalf of me"~~~Kwa niaba yangu
and the fellow Tanzanians~~~Na watanzania wengine
 
Hhahahaahahahahah daaaah huu uzi umenifanya nicheke kama mwehu, ina maana hawa wote kwenye hizi picha ni waTanzania? Daaah bora nlivyojitoaga FB ule sio mtandao ni gulio la wajinga.... dided by me
replided by me
 
Back
Top Bottom