Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,424
- 860,143
- Thread starter
- #361
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545] That's very correctKuna ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili "Rest In Peace" au "Pumzika kwa Amani" imekaa kiroho zaidi kwa maana Marehemu/Hayati akiisha fariki mwili unazikwa lakini roho inakwenda kusubiri hukumu siku ya mwisho. Lakini ukiwa hai unaweza kupumzika lakini siyo kwa amani maana bado changamoto zinakusubiri.