usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,900
Hahahahaaaa
Hawajui.Haya ni matokeo ya viingereza vya shule za Kata.Nimecheka sana..... Hivi wanakuwa wanajua wanacho kiandika ila ni kusudi au wanakuwa hawajui kabisa
Duh..na hiyo picha kajipiga vipi kama yupo alone.
Hahaaa watu wa fesibuku bwana..... Alafu akisha comment anaangalia Mara mbili mbili kama kakosea then anapost .....

Hatari mkuuDuh..na hiyo picha kajipiga vipi kama yupo alone.
Facebook ni mtandao hatari sana kwa matumizi ya lugha ya kikristo.Hahaaa watu wa fesibuku bwana..... Alafu akisha comment anaangalia Mara mbili mbili kama kakosea then anapost .....![]()
![]()
![]()
![]()

'On behalf of myself" umesoma zile shule za jumuiya za ccm?hapo rais yupo sahihi seme nyie shule ndo zero
Broken ni nin hapo,nijuzen mana wengine hucheka kufuata mkumbo kumbe Std7 kitambo.

hapo kachapia grandfather badala ya grandmother yaani kaandika babu badala ya bibiBroken ni nin hapo,nijuzen mana wengine hucheka kufuata mkumbo kumbe Std7 kitambo.![]()