Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,304
- 1,312
Ni kweli hujaona kakosea wapi mkuu? Acha utaniBroken ni nin hapo,nijuzen mana wengine hucheka kufuata mkumbo kumbe Std7 kitambo.![]()
Ni kweli hujaona kakosea wapi mkuu? Acha utaniBroken ni nin hapo,nijuzen mana wengine hucheka kufuata mkumbo kumbe Std7 kitambo.![]()
Huyu kacheka au katoa Meno nje?KUNa Mwenye picha ya huyu mama inayoonyesha Kanuna? Hapo ilikuwa siku ya harusi yake
View attachment 626853
Hiii ndege imening'inizwa mikate au ndo ndege zetu tulizonunua kwa cash?!
Kwani huyu anacheka au analia au simu yangu mbovuKUNa Mwenye picha ya huyu mama inayoonyesha Kanuna? Hapo ilikuwa siku ya harusi yake
View attachment 626853
Hatuna Bombadier ya hivo mkuu tutake radhinafikiri hii ni mbombandia

Only in facebook or only at facebook?Tuhamie kwako sasaOnly at Facebook you can get true analysis about our education in English language
Kumbe kuwataka radhi tu haya binti kiziwi naomba radhi yako!Hatuna Bombadier ya hivo mkuu tutake radhi![]()
Duh! nchi ya viwanda hii
Mkuu mshana jr yuko sahihi. Kama facebook ni mahala (mtandaoni) ni sawa kusema "at facebook".Only in facebook or only at facebook?Tuhamie kwako sasa
I never knew about it...The only guys who can say "at facebook" are those who are working for facebook as a company. For facebook users (and other social networks for that matter) the only debate is whether to say "in/on facebook etc."
Asante sana.and the more correct answer is On facebookThe only guys who can say "at facebook" are those who are working for facebook as a company. For facebook users (and other social networks for that matter) the only debate is whether to say "in/on facebook etc."
Najua mpaka najiogopa mkuu.umegusa pengine kaka,huwezi sema only at facebook kwenye statement kama yako!!Unajua matumizi sahihi ya IN na AT?