Broken mixer za FACEBOOK, tupia yako

5c75a0015b935d5fe3588cac119e13ca.jpg
 
Hatarihatari ndo maana natumia kiswahili kiingereza sikijui, kuna mtu alinifata pm na kiinglish nikamwambia ngeli siijui zungumza Swahili huwezi potea akatiririka weee nikamjibu kilugha tena bonge ya insha mpaka leo sijamuona
K mambo!
 
'On behalf of myself" umesoma zile shule za jumuiya za ccm?
Mkuu "on behalf of myself" wanaoitumia wanaitumia kama idiom, ukichunguza syntactically (grammar) haina shida ila semantically (meaning) inaleta ukakasi kidogo ila wenye lugha yao pia huitumia japo sio sana
 
Hatarihatari ndo maana natumia kiswahili kiingereza sikijui, kuna mtu alinifata pm na kiinglish nikamwambia ngeli siijui zungumza Swahili huwezi potea akatiririka weee nikamjibu kilugha tena bonge ya insha mpaka leo sijamuona
Ulinivunja moyo sana na kile kinyiramba chako jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom