Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,757
- 21,988
tatizo kiingereza hamjui mnajifanya majaji wa kiingereza, neno " on behalf of my self.." hutumiwa na viongozi kumaanisha yeye kwa nafasi aliyonayo mfano rais, waziri mkuu, n.k.'On behalf of myself" umesoma zile shule za jumuiya za ccm?
Kasome upya jamaa yangu bado una safari ndefu.
