Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
3,789
Points
2,000
Mgagaa na Upwa

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
3,789 2,000
Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.


Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.

Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
Ulaji wa mafuta kati ya hizo gari tofauti yake iko vipi?
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
18,726
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
18,726 2,000
Vipi kuhusu acceleration na stability katika barabara
Acceleration ni chap kwa ukali, juzi nilikuwa nasukuma mnyama wa best yangu. Aisee that thing pulls up faster!

Halafu ni nzito, you feel uko kwa gari hata at high speed. Tofauti kabisa na jamii ya corrolla ama 1.8L cars nyingi za Toyota.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,864
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,864 2,000
2015 model, nimewah kuiendesha sana, inatumia mafuta kidogo sana ila ni Ngumu kwenye upande wa Shokapu.. hata upige shimu mara nyingi, Bado inabaki imara tu.
Gari kubwa kama ile toyota wameiwekea engine ya 2700cc,daah iko undepowered kinyama.
 

Forum statistics

Threads 1,324,584
Members 508,741
Posts 32,167,171
Top