Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Negrodemus

Negrodemus

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2010
Messages
2,271
Points
1,500
Negrodemus

Negrodemus

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2010
2,271 1,500
RAV 4 habari nzito ukiipata old model haifi kizembe.

Au suzuku samurai sema kwa safari haina mwendo
Kwenye option zake hizo gari unazozitaja hazipo.[/QUOTE]
Post zangu za nyuma nimempa option altezza kama hana hela za mafungu hizo nyingine takataka nzito body lina plastic na fibre za kutosha ukipata shida rangi haikai unless utoe sehm husika
 
Kamukhm

Kamukhm

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2015
Messages
888
Points
1,000
Kamukhm

Kamukhm

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2015
888 1,000
mark II ni outdated
Kaka kuna vintage cars ..za miaka ya 70 na bado zinafetch higher prices kuliko hizi fiber baskets..

Uzuri wa gari ni reliability, upatikanaji wa parts.. Matumizi ya mafuta.. Handling.. Na gari yenye real drive handles better..

Ktk gari alizotaja pamoja na kuwa outdated GX110 imeendelea kuhold value.. Verossa, Mark x na, Crown na Brevis zitaondoka kwenye soko na huenda zikaacha gx110 ipo bado.. Huo ndio uzuri wa gari.. Hizi sio nguo unamechisha na viatu
 
coscated

coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
2,457
Points
2,000
coscated

coscated

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
2,457 2,000
Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.

Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.

Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
Kila mwenye chaguo la gari husika anatakiwa aje na facts kama hizi hakika itapendeza
 
TUTUO

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,821
Points
2,000
TUTUO

TUTUO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,821 2,000
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Nadhani una maanisha vi baby walker
 
Abdallahkova

Abdallahkova

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2017
Messages
1,099
Points
2,000
Abdallahkova

Abdallahkova

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2017
1,099 2,000
Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.

Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.

Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
Siwezi kubishana naww toka uanze kumili gari ndo Gari yapili hiyo .Gx 80.Gx 100.gx 110 .Gx 120 .nahiyo Alteza pia ni Gx .mm nimetumia Gari zote zajapan unazozijua na unazopishananazo barabarani .nasema hivi huwezi kuifananisha alteza na brevis .kama unataka ligi njoo mm nitakupa alteza yoyote unayotaka mpya kabisa kisha mm nichukue brevis .twende pale bunju kwanzia SAA 6 usiku magari hakuna kisha twende bagamoyo atakaewai kurudi bunju .ila tunaweka mzigo mezani kila MTU ml 5 .
 
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
2,553
Points
2,000
lossoJR

lossoJR

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
2,553 2,000
Siwezi kubishana naww toka uanze kumili gari ndo Gari yapili hiyo .Gx 80.Gx 100.gx 110 .Gx 120 .nahiyo Alteza pia ni Gx .mm nimetumia Gari zote zajapan unazozijua na unazopishananazo barabarani .nasema hivi huwezi kuifananisha alteza na brevis .kama unataka ligi njoo mm nitakupa alteza yoyote unayotaka mpya kabisa kisha mm nichukue brevis .twende pale bunju kwanzia SAA 6 usiku magari hakuna kisha twende bagamoyo atakaewai kurudi bunju .ila tunaweka mzigo mezani kila MTU ml 5 .
Sasa umeanza KIK gari zote ambazo zipo barabarani za Mjapan umetumia?? Duh Kik hizi bwana mbaya, au nawe ndio walewale
 
Abdallahkova

Abdallahkova

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2017
Messages
1,099
Points
2,000
Abdallahkova

Abdallahkova

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2017
1,099 2,000
Sasa umeanza KIK gari zote ambazo zipo barabarani za Mjapan umetumia?? Duh Kik hizi bwana mbaya, au nawe ndio walewale
Mm nauza magari kwahiyo sioni kama nikiki .labda Niki kwako .nikaziyangu nibiaashara yangu .naukakika nakitu nachokiongea .
 
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Messages
4,606
Points
2,000
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2008
4,606 2,000
NIliiacha mbali sana from dsm to mbeya mm nilikuwa na subaru wrx kama wahifahamu
Tochi zilikua wapi wakati unaiacha mbali sana?,au tochi zinachagua mabus tu ?
 
H7N9

H7N9

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
311
Points
225
H7N9

H7N9

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
311 225
LX gari za kiumeni nyingine zote ulizotaja zilikuwa wanahongwa wanawake.
 
mk4

mk4

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Messages
254
Points
250
mk4

mk4

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2012
254 250
Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.

Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.

Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
Boss mbona unatisha watu mkuu, na torque,horsepower,rmp acha izo mkuu, brevis na alteza zote ni toyota sema alteza ina engine nyingi tofaut sana, 3S GE haiwezi hata siku moja kukimbiza 1JZ GE lamda iwe 3S GTE hapo nitakubali coz inakuwa na turbo ambazo ni chache sana kati ya alteza 10 unazo ona hapa tz lamda moja ndio ina iyo engine 3S GTE alafu alteza watu wanaswap engine na kuweka engine ya 1JZ GTE ambayo ina turbo so hapo ndio unakuta alteza ina nguvu balaa
Bt brevis mkuu ni mashine kubwa coz iyo 1JZ GE(2500CC) na 2JZ GE (3000CC) kavu izo hazina turbo lakin ni balaa alteza nyingi sana hasiwezi huo moto lamda zilizo na turbo ndio zinaweza kusumbua brevis
For me brevis ni gari nzur sana kuliko alteza kutoka kwny engine mpaka comfutabiliy
 
Forum statistics

Threads 1,324,588
Members 508,741
Posts 32,167,430
Top