Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Shida yake gari ya kutamba kwa muda tu kama zilivyokua baloon,gx 100 now brevis inaenda alijojo ikifuatiwa kwa mbali na mark x,nachoipendea tezza imesimama vile vile toka ilivyoingia bongo kama ilivyo i.s.t na rav 4 old model
Crown ni gari za muda mrefu sana sokoni maarifu kama Royal Salon. Chagua crown athletes 2 JZ FTSE engine cc 3,000 au crown Majesta cc 4,600.
 
Niko na Legacy B4 Twin Turbo RSK (Rally Sport Kompressor)...zimetengenezwa kukimbia sio kutembea. Nikiwaga road ukitaka unichefue ni wewe mwenye Brevis au Tezza unisogelee nikuone kwenye side mirror. Niko na aleji na hizo aina mbili niko tayari nipitwe na Duet, March au Vits lakini sio Brevis na Tezza.
Hiyo engine ina nguvu sana lakini haiwezi kufua dafu kwa 2JZ GTE twin turbo. Hii engine ikiwa tuned inafikisha horse power 1,500 na ni miongoni mwa engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na toyota wakishirikiana na Yamaha.
 
Crown ni gari za muda mrefu sana sokoni maarifu kama Royal Salon. Chagua crown athletes 2 JZ FTSE engine cc 3,000 au crown Majesta cc 4,600.
Hilo majesta na royal sasa hivi hata m 5 umuuzi mtu,hayana tofauti na baloon na gx 100 kwa sasa,na ndivyo itakavyokua hiyo athlete baada ya miaka 3,kuna jamaa yangu anamiliki hilo majesta,liko liko tu now mpaka namuonea huruma,lishakua ndoa ya kikatoliki
 
Shida yake gari ya kutamba kwa muda tu kama zilivyokua baloon,gx 100 now brevis inaenda alijojo ikifuatiwa kwa mbali na mark x,nachoipendea tezza imesimama vile vile toka ilivyoingia bongo kama ilivyo i.s.t na rav 4 old model
Tezza imesimama?

Wkt sa hivi zinachezea hapo kwny mil 4-5 mkononi mwa watu.
 
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.

Vipi kuhusu VEROSA mkuu?
 
Vipi kuhusu VEROSA mkuu?
Vr-25 ndo inatembea balaa ni 1JZ-GTE lkn kuipata yenyewe gharama si mchezo,majuzi niliiona mtandaoni CIF $8700 bado kodi bongo na ilinunuliwa fasta tu,hizi verosa nyingine zenye IG-FE 2.0l hii mwendo wake kama wa cresta na 2.5 L 1JZ-FSE sio mbaya.
 
Kuna jamaa ana shida ameanzia 9Mill na. C.....
 
Daah huko mbali sana mkuu icheze 5-6mil tena ikifika 6mil umempendelea sana sana mkuu.,yameshakua ya kizamani kiaina ingawa pia body yake kwa kazi za suluba haifai.

Ulaji wa mafuta wa Verosa ni sawa na Brevis??
 
Back
Top Bottom