Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Inategemea na dereva unayefukuzana nae...mimi nikikamata usukani wa Brevis usijisumbue kunifata nyuma nitakusababishia ajari bure.
Niko na Legacy B4 Twin Turbo RSK (Rally Sport Kompressor)...zimetengenezwa kukimbia sio kutembea. Nikiwaga road ukitaka unichefue ni wewe mwenye Brevis au Tezza unisogelee nikuone kwenye side mirror. Niko na aleji na hizo aina mbili niko tayari nipitwe na Duet, March au Vits lakini sio Brevis na Tezza.
 
Gari zote hapo ulizozitaja baba yao ni huyo Brevis na ndio maana wenyewe wakaipachika jina la utani King of the road na hata ukiitazama tu kuna kitu utakigundua kwa macho.
Ukitaka kupasua engine ya gari yako fukuzana na Brevis safari ndefu uone.
Da Yani Brevis iwe king of the road? Acha utani basi
 
Daahh jmn hizi dharau zilizoenda shule,kiukweli subaru zoteee ni hataree faya,nina mnyama forester XT,safarini sjaona gari la kukimbizana nalo ispokua v8 tu,kwa upande wa toyota
Niko na Legacy B4 Twin Turbo RSK (Rally Sport Kompressor)...zimetengenezwa kukimbia sio kutembea. Nikiwaga road ukitaka unichefue ni wewe mwenye Brevis au Tezza unisogelee nikuone kwenye side mirror. Niko na aleji na hizo aina mbili niko tayari nipitwe na Duet, March au Vits lakini sio Brevis na Tezza.
 
Daahh jmn hizi dharau zilizoenda shule,kiukweli subaru zoteee ni hataree faya,nina mnyama forester XT,safarini sjaona gari la kukimbizana nalo ispokua v8 tu,kwa upande wa toyota
Hiyo forester yako itashindana na mark 2 gx 90,100 au 110 iliyofungwa injini ya 1jz au 2jz gte?
 
Niko na Legacy B4 Twin Turbo RSK (Rally Sport Kompressor)...zimetengenezwa kukimbia sio kutembea. Nikiwaga road ukitaka unichefue ni wewe mwenye Brevis au Tezza unisogelee nikuone kwenye side mirror. Niko na aleji na hizo aina mbili niko tayari nipitwe na Duet, March au Vits lakini sio Brevis na Tezza.
Vipi ukikutana na Crown Athlete?
 
Niko na Legacy B4 Twin Turbo RSK (Rally Sport Kompressor)...zimetengenezwa kukimbia sio kutembea. Nikiwaga road ukitaka unichefue ni wewe mwenye Brevis au Tezza unisogelee nikuone kwenye side mirror. Niko na aleji na hizo aina mbili niko tayari nipitwe na Duet, March au Vits lakini sio Brevis na Tezza.
Nataka nitoke kwenye legacy gt twin turbo niingie mazima kwenye tezza,maana mnyama kishaanza kusumbua na kuna dalili zote kua nayo kama ndoa ya kikatoliki au kuikata kata kuiuza kama spare
 
Back
Top Bottom