Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Nataka nitoke kwenye legacy gt twin turbo niingie mazima kwenye tezza,maana mnyama kishaanza kusumbua na kuna dalili zote kua nayo kama ndoa ya kikatoliki au kuikata kata kuiuza kama spare
Doh mnyama anasumbua nn tena? Mi hata iweje sitatoka Subaru niende Toyota...nikihama Subaru nitaenda Audi.
 
Vipi ukikutana na Crown Athlete?
Kukimbia kwa gari inategemea na dereva na uwezo wa gari, sasa legacy b4 ina uwezo mkubwa ina nguvu sana (273HP) halafu na mimi huwa sio muoga nikiwa road hasa kama nimeamua kukimbia, na nikiamua kukimbia huwa nahakikisha sipitwi labda Land Cruizer V8 za Govt zile kwenye vibao vya 50 (speed limit) hazipunguzagi mwendo na mimi huwa naheshimu sana vile vibao. So Brevis Tezza Crown kama nikiamua kukimbia haziwezi nifata labda tu nisiwe na mood ya ligi.
IMG-20190825-WA0015.jpeg
 
Aaaaah nna mark x ya cc 3000... Nilishaweka gps kuona inafika ngapi sanbabu dashboard in a 180... Mzee ... babat arusha ukitoka mbuyu wa mjerumani... Kitu ilisoma 260 na inaenda... Kaka ukikutana na huu mziki utatafuta had kesho
Kukimbia kwa gari inategemea na dereva na uwezo wa gari, sasa legacy b4 ina uwezo mkubwa ina nguvu sana (273HP) halafu na mimi huwa sio muoga nikiwa road hasa kama nimeamua kukimbia, na nikiamua kukimbia huwa nahakikisha sipitwi labda Land Cruizer V8 za Govt zile kwenye vibao vya 50 (speed limit) hazipunguzagi mwendo na mimi huwa naheshimu sana vile vibao. So Brevis Tezza Crown kama nikiamua kukimbia haziwezi nifata labda tu nisiwe na mood ya ligi.View attachment 1191766
 
Back
Top Bottom