mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Cha ajabu lilikuwa discontinued huko japani.Brevis gari sana achana na uo uchafu mwingine
Cha ajabu lilikuwa discontinued huko japani.Brevis gari sana achana na uo uchafu mwingine
2jz noma sana hio,labda kama anataka gari ya ma mbioGari engine
Tafuta yenye engine 1jz au 2jz....
hayo majina ni mbwebwe tu
by kijana.
Ulaji wa mafuta kati ya hizo gari tofauti yake iko vipi?Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.
Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.
Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
Touring nadhani hiyo,hivi hili dude ulaji wake wa mafuta na altezza uko vipi mkuu?camry vvti 2.0 ndio gari achana na huo uchafu mwingine
Hilo jiko la 1JZ kwa uhakika limo kwenye Brevis tu hapo, Altezza na GX110 kwa bahati sana ni 3s au 1G kwa sana.Gari engine
Tafuta yenye engine 1jz au 2jz....
hayo majina ni mbwebwe tu
by kijana.
2TRIvi prado tx new model ipi engine nzuri?
Utakutwa mortuary wwInategemea na dereva unayefukuzana nae...mimi nikikamata usukani wa Brevis usijisumbue kunifata nyuma nitakusababishia ajari bure.
Acceleration ni chap kwa ukali, juzi nilikuwa nasukuma mnyama wa best yangu. Aisee that thing pulls up faster!Vipi kuhusu acceleration na stability katika barabara
Starlet Glanza!Vitz ndio mpango mzima
Muendelezo wake ni Mark Xmark II ni outdated
Jamani mbona mnadharau hivi vigari wakati ndio vya wanyonge na masikini wa nchi hii? Kuna mpumbavu mmoja alisema IST ni gari za kuhonga wanawakeNini vitz au passo?
2015 model, nimewah kuiendesha sana, inatumia mafuta kidogo sana ila ni Ngumu kwenye upande wa Shokapu.. hata upige shimu mara nyingi, Bado inabaki imara tu.Ivi prado tx new model ipi engine nzuri?
Brevis ni hatari ikikutangulia hauikamati..Vipi kuhusu acceleration na stability katika barabara
Gari kubwa kama ile toyota wameiwekea engine ya 2700cc,daah iko undepowered kinyama.2015 model, nimewah kuiendesha sana, inatumia mafuta kidogo sana ila ni Ngumu kwenye upande wa Shokapu.. hata upige shimu mara nyingi, Bado inabaki imara tu.
Muendelezo wake ni Mark X
Hii Camry uso mrefu sijawahi ipendaga kabisa. Front view imekaa kishambenga sana kama Riyama Ally 🤣🤣🤣Touring nadhani hiyo,hivi hili dude ulaji wake wa mafuta na altezza uko vipi mkuu?View attachment 1181509
😃 jini hilo,linabwia vibaya mno,kuna jamaa anaangaika nalo kuliuza lkn wapii!Hii Camry uso mrefu sijawahi ipendaga kabisa. Front view imekaa kishambenga sana kama Riyama Ally 🤣🤣🤣
Hii Camry uso mrefu sijawahi ipendaga kabisa. Front view imekaa kishambenga sana kama Riyama Ally