Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Uzuri ngoma ishaenda kimataifa. Tusubiri waje kumnyakua mteule wa ICC
1768588515142.jpg
 
Kushuka kitonga, atambae na zile kona za iyovu.. noma sana.
Ni issue ambayo ameshaifanyia mazoezi gizani zaidi ya mara 20+ hawezi kushindwa mara 1 akiwa kwenye mwanga.. muwe mnaelewa hilo kabla.. yaan huyo hio ni michezo yake kucheza na road kukimbizana na muda kila wakati Dar to Mbeya zaidi ya mara 20+ kwa hio anajua wapi kuna tuta wapi kuna kona kali wapi kuna shimo road yote anaijua wapi apunguze mwendo wapi achomelee kibati wapi atembelee speed ya mwisho kabisa wapi atembee kwa tahadhari nk. Yaan hio road anaijua mwanzo mwisho humuambii kitu

Mwamishe road mwambie achombelee Dar to Songwe au Dar to Mwanza masaa 10 km hajaishia njiani, kwanini? Sababu inabidi aizoee barabara kwanza ndio aende hivi hivi amaweza hata asifike
 
Wale wabishi wa kimataifa sasa, kwaiyo mazoezi watu wanaoshindwa huwa hawafanyi??? Neno n moja chalii katoboa, maelezo mengi na hauna hata rekod ni kelele.
 
Najua ninachokisema unavunja rekodi zako mwenyewe ndio njia pekee ya kuvunja rekodi za watu wengine.. ninakwambia kitu ambacho nimewahi kukifanyia kazi zaidi yako kwa hio unapobishana na mimi bisha huku ukiwa unatumia akili sio makalio kufikiria !
 
😁😁😁,sipingi🙌,,Kuna mmoja alikufa huku kwetu Kwa hiyo betting,

Weye wasemaje,ni hatari Kwa Afya au sio hatari??
Kule Mongo la ndege crossroad ya kwenda Ulongoni walikuwa wanafanya betting ya 50K ya kuvuka barabara bila kuangalia kushoto au kulia! Walikufa wengi sana!
 
Back
Top Bottom