Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Sio kweli
A lion's fastest speed is around 80 km/h (50 mph), but they can only maintain this burst of speed for short distances, typically around 100 meters, relying on powerful fast-twitch muscles for explosive acceleration in ambush hunting.
 
Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka sehemu yao yakazi na kupelekea kuweka shindano la kushinda pikipiki endapo atafanikiwa kufika Dsm ndani ya masaa 10...

Kwa rekodi hiyo ameitangaza vema kampuni inayotengeneza pikipiki za boxer kwenye
Mwendokasi
Umadhubuti
Uimara
Mafuta
Na ya kwamba ni chombo kinachoweza kuaminiwa na kuaminika kwenye barabara za Afrika na miundombinu yake

Kwa wanaojua na kujali marketing dogo bila kufahamu kafanya kitu kikubwa sana.. Na kampuni ya boxer wakiwa werevu wanaweza kumtumia vizuri na kila mmoja akapata na kufaidikaView attachment 3531047
Ameweza kutembea?
 
Mkuu nakumbuka Mwaka 2007 niliendesha XRL kutoka Dar hadi Mahenge, nakuambia impact niliyoipata kwenye miguu ilikuwa hatari sana.
Nilishindwa kutembea siku 2.

Upepo uliathiri sana miguu yangu!!
Kama hajajisunda vizuri miguu atapata hiyo shida pia
 
Back
Top Bottom