Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

Sioni chochote cha ajabu hapo !. Labda tuzungumzie ubishi kati ya watu wawili walioamua kubet kwa kutumia vyombo cha usafiri aina ya Boxer.
Miaka ya 90 kulikuwa na basi la Tawakal likiaanzia safari pale mnazi mmoja saa 12 asubuhi, likifika Mbeya saa kumi jioni, Tunduma saa 12 jioni?

Kama basi lenye vituo vya kusimana linaenda Mbeya kwa masaa kumi Boxer 150 yenye dereva aliyedhamiria na ana bajeti ya kutosha anashindwaje kwenda hata chini ya masaa kumi? 🤔
 
Tembea utaelewa alipitaje, unakaa tu kwa shemeji yako utaelewaje?
We ni fala sana ..am 47yrs old
Hapo mikumi nimepita sana wakati nna ruti za tunduma to dar mwaka 202 ,wakati huo dar mbeya tunapamba Zainab bus,au Tawaqal,HEKIMA BUS ndio zilikuwa za fasta sana Dar Tunduma,nauli elfu saba mpk Elfu kumi..... wakati huo we kibaka ujazaliwa nadhani.
Mimi nikae kwa shemeji? Nna 4 house ,nna wajinga kama wewe nawalisha na wengine washaanza kujitegemea.
ungekuwa karibu ningekuzibua mpumbavu wewe.
 
Msamehe.ni vile humjui Wala hakujui,kikubwa hamjuani.
 
We ni fala sana ..am 47yrs old
Hapo mikumi nimepita sana wakati nna ruti za tunduma to dar mwaka 202 ,wakati huo dar mbeya tunapamba Zainab bus,au Tawaqal,HEKIMA BUS ndio zilikuwa za fasta sana Dar Tunduma,nauli elfu saba mpk Elfu kumi..... wakati huo we kibaka ujazaliwa nadhani.
Mimi nikae kwa shemeji? Nna 4 house ,nna wajinga kama wewe nawalisha na wengine washaanza kujitegemea.
ungekuwa karibu ningekuzibua mpumbavu wewe.
Dah!😀 nadhani alifanya kama jokes tuu
 
Sioni chochote cha ajabu hapo !. Labda tuzungumzie ubishi kati ya watu wawili walioamua kubet kwa kutumia vyombo cha usafiri aina ya Boxer.
Miaka ya 90 kulikuwa na basi la Tawakal likiaanzia safari pale mnazi mmoja saa 12 asubuhi, likifika Mbeya saa kumi jioni, Tunduma saa 12 jioni?

Kama basi lenye vituo vya kusimana linaenda Mbeya kwa masaa kumi Boxer 150 yenye dereva aliyedhamiria na ana bajeti ya kutosha anashindwaje kwenda hata chini ya masaa kumi? 🤔
Ila kuna watu wamepinga hapa
 
Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150...
Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka sehemu yao yakazi na kupelekea kuweka shindano la kushinda pikipiki endapo atafanikiwa kufika Dsm ndani ya masaa 10...

Kwa rekodi hiyo ameitangaza vema kampuni inayotengeneza pikipiki za boxer kwenye
Mwendokasi
Umadhubuti
Uimara
Mafuta
Na ya kwamba ni chombo kinachoweza kuaminiwa na kuaminika kwenye barabara za Afrika na miundombinu yake

Kwa wanaojua na kujali marketing dogo bila kufahamu kafanya kitu kikubwa sana.. Na kampuni ya boxer wakiwa werevu wanaweza kumtumia vizuri na kila mmoja akapata na kufaidikaView attachment 3531047
Hili limetendeka lini mkuu
 
Back
Top Bottom