Katudanganya mwambie na mimi ntaweka nae ila ntakua na gari namfata nyuma mpaka daslm atumie hayo masaa kumi..Alikuwa peke yake na hakuwa na huo muda wa kuanza kupiga picha
Wewe mzee sitoboi na gari gani yeye ndio atanikuta daslm...Hutoboi na gari
hahahaa naona vijana mnabett maisha 😅Wewe mzee sitoboi na gari gani yeye ndio atanikuta daslm...
Natoka na magari SA kila mwezi anasema masaa kumi mbeya dar aisee nikamuuliza na gari gani hizi nazotoka nazo huku kwa kaburu atanikuta daslm na mwendo wangu wa kizee natumia masaa 12 kutoka Lusaka mpaka Nakonde zaidi ya 1000km...hahahaa naona vijana mnabett maisha 😅
Barabara za South sio za Bongo ujue.. Check ule mkeka wa Mphumanga kwenda Witbank kwa mfano au Joburg to CapeNatoka na magari SA kila mwezi anasema masaa kumi mbeya dar aisee nikamuuliza na gari gani hizi nazotoka nazo huku kwa kaburu atanikuta daslm na mwendo wangu wa kizee natumia masaa 12 kutoka Lusaka mpaka Nakonde zaidi ya 1000km...
Nina gari ipo Arusha Legend 50 ya 2023 nilitoka mbeya jioni Alfajiri nipo daslm nilitoka usiku Daslm alfajiri nipo Arusha na mwendo wa kawaida tu 150/km na 160km/h hizo iyovi iyovi nishazizoea sana huko magari makubwa mengi sana bara bara ya Iringa ila nafika mapema tu nikiwa na gari nzuri..Barabara za South sio za Bongo ujue.. Check ule mkeka wa Mphumanga kwenda Witbank kwa mfano au Joburg to Cape
matairi manne yanasafirisha mwili,Nina gari ipo Arusha Legend 50 ya 2023 nilitoka mbeya jioni Alfajiri nipo daslm nilitoka usiku Daslm alfajiri nipo Arusha na mwendo wa kawaida tu 150/km na 160km/h hizo iyovi iyovi nishazizoea sana huko magari makubwa mengi sana bara bara ya Iringa ila nafika mapema tu nikiwa na gari nzuri..
Mimi sidanganywi kitoto hakuna Boxer inafika daslm kwa masaa kumi..matairi manne yanasafirisha mwili,
Matairi mawili yanasafirisha roho.
Kwakweli wamemuudhi sana"muhinfi haoana",,Wamekuudhi Hadi Umeamua Andika Kibantu Orijino Cha Kwenu Huko...
Mzee CCM watudanganye na nyinyi mtaani tena mnakuja na ithibati tutapona kweli..Ngoja tusubiri ithibati
🤣🤣🤣Mzee CCM watudanganye na nyinyi mtaani tena mnakuja na ithibati tutapona kweli..
Sidhani kama wanakamatwaHivi boda nao huwa wanakamatwa kwa ku overspeed siku hizi?
People wanapita sana mbona, waulize wadau wa mikumi town pale wanavuka mara kibao kwenda doma melela nk kila wakati tena spidi ndogo tuPale mbugani mikumi alivukaje?