Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Ha ha ha, hii ni kali, ila huyo nanoli amechemsha navyojua mm, neno "" pssyuuu " huwa linatumiwa na wanawake
Mabwabwa wamejaa sana huku JF nowadays ndiyo tatizo, mwanaume unaanzia wapi kusonya aseee??
 
Kutumia mwili wangu maana yake nn hasa? Maana kilichoanza kati yetu ni mapenzi, hilo la mali ni la pili, wenye mali kwenye kampuni yetu wapo wangapi? Mbona sikuwafuata hao? Huyu tumependana, na coincidentally ana mali, ana hitaji mwanaume wa kufanya nae maisha pamoja, yy ana pesa mm nakuja na mbinu biashara zipanuke, namsaidia yy na mm hapo hapo najisaidia

Nimekua na idea nyingi za kutoka na za ujasiriamali lakini shida ni Mtaji, sasa tatizo la Mtaji limepata ufumbuzi, tatizo ni nn hasa?

Kwa nn wanawake mnakua hivyo? Mnataka chenu kiwe chenu tu ila cha mwanaume kiwe cha wote, hivi mwanamke anaejiweza akimsaidia mwanaume aliekwama kimaisha Kuna ubaya?

Hebu niungeni mkono katika hili ndugu zangu
Nani aunge mkono upumbafu huu Wa kwenda kulelewa Na mwanamke? Hivi mbona wanaume mmekua hivyo? Umeletewa Mke mpende huyohuyo sio blah blah nyingi hapa.
 
najua kinachokupeleka ni hiki ''Yupo safi kiuchumi, ameachiwa mali kibao baada ya kugawana na mumewe'''' hakuna kingine zaidi ya hiki. Kila la heri mkuu
 
Tunaoana, na si vinginevyo, kinachotuunganisha ni mapendo, kaniita tusaidiane kuendeleza hizo mali ziweze ku multiply ili ziweze kutunufaisha wote pamoja na watoto wake, hakuna ubaya, zaidi ya yote namsitiri
Kama hilo ndilo lengo lako kuwa una mstiri, vipi unapata shaka kuchukua hatua?!! Hivi jamani kumstiri mpenzi wako mpaka uje JF kuomba ushauri?! Seriously?!!!
 
Huyo mke uliyeletewa na mzazi mpige chini pia usilelewe na mwanamke hata kama mnapendana
 
aisee wanaume tupo wachache sana hapa mjini....nachokushauri uyo mama wewe piga pumbu tu kistaili na pumbu la maana akolee akuachie hesabu zote upige vzuri na kumfisadi.....ila suala la kuhamia kwake ni big nooo!!!\

unaonekana huna msimamo wa maisha na ni type ya wale wanaume sarawili hasara tupu mnaopenda slope aka kitongaa...

hata uyo mwanamke wa kijijini umeletewa baada ya kupitiliza sana kuoa na humpendi kwasababu hana kisu...what a mess!!!
yani mwanaume kama wewe una mwisho m'baya sana hapa duniani..you are totally a failure na utakufa huna hata kijiko..

na unakaa kabisa like unaomba ushauri what to do!! jesus mwenzio am 31 na nyumba mbili mjini kwa kuvuja jasho hadi la mkunduni...na mke ananipa shikamoo kila asubuh,,,, ivi mmekuaje nyie??

hamia uone majuto yake....eti asubiri kodi iishe arudi kijijini..jingaaaa!! hata kiwanja huna mjini...unalo babu!!! hata mtoto huna!!! miaka 40 iyo apo....ukimwi ndio zawadi yako ukahangaike nayo!! maana akili huna

kaka aisee umejua kufunda bora umemwambia mma ningeeingia mm mfundaji ningempa la kipigo kimoja tu
amenishangaza sana anataka kuhamia kwa mwanamke cause kaona ana pesa anafikiri pesa ndo suluhisho lake atakiona
anafikiri hiyo pesa nodo penzi la kweli wakati pesa ni kichocheo cha dhambi anayoifanya
hahahaaaaaa
 
Daah pole sana mkuu kwa sakataa zito..lakin naomba nipe namba ya huyo dada niweze kuthibitisha kama kweli anavumba...na kwa kweli kama haya maelezo yakweli na ntakachokiona kwa huyu mama mwenye vumba ntarudi tena hapa kutoa ushauri
 
Hawa wanaume wa dar bhana, yaani unakomaa kuhamia kwa mwanamke??? Kisa pesa au nini?
 
Ni utaratibu wa wapi wa maisha mama anamletea mwana hawara
 
kwani mke unaachiwa kwa style iyo uliyoachiwa na mama...hujui unachokitaka soma alama za nyakati kwanza unahamiaje kwa demu...we kula mzigo kisela tu
 
hamia kwake usijali, nakuomba nakuomba sana, huyu mke aliyekuletea mama usimrudishe kijijini , mlete nikuwekee, siku ukirudi nyumbani utakuja mchukua kwangu. pleeeease
Mkuu quote yako uliiangalia vizuri ama lile tatizo la Jf limejirudia?
 
Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.
Mtu yeyote anayekuvuta kwenye mahusiano na pesa ujue hataki mapenzi ila kunakitu anataka na pesa zitatumika kama chambo ya kukupata. Kwa herufu kubwa naandika atakufanya MSUKULE na kazi yako itakuwa kuzalisha pesa zake.

Nakushauri kimbia haraka, wewe ni jembe ameonapotential ulizonazo anataka kuzivuna, rudi kwa mkeo jitafakari, tumia akili yako vizuri uone hicho alicho kiona halafu anza vyako.

Sikumoja kaa naye vizuri muulize amependea nini kwako, mdadisi ukilinganisha na mawazo hayo niliyokupa, atakushauri uache kazi usimamie kazi zake, ondoka hapo sipo, kama huwa husali anza kuomba MUNGU akuonyeshe kilichoko nyuma ya hilo penzi mufirisi.
 
[emoji57]

Wanawake kazi tunayo, sio kwa wanaume wa hivi
 
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
We nizichi ikigeuka
 
Hii ni movie au? Naomba Mungu iwe kama nilivyodhani kuwa ni movie!!
 
Back
Top Bottom