Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Habari wadau

Kuna boss wangu ambae amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa Muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikua ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa,

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa ktk mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi,
Juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million

Ana watoto wawili, na ni mzuri kwa kweli, ningekua nimeshahamia kwa huyu boss wangu Lakin shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mm ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati

Help pls
SIO UNAOMBA USHAULI KUMBE nyuma ya mgongo tayari unamaamuzi. hakuna anayekupenda duniani kama mama yako, kumuacha huyo mwanamke unatafuta ugomvi na mama yako(lazi). endelea na mkeo huyo mama nenda kamparamie hadi akome , lkn katu katu mkeo usimuache na wala wewe usihamie kwa huyo mama.
 
huyo amekosa mawindo kama simba anaye amua kula nyasi
 
Pole sana usijaribu huo upuuzi najua hela ndio zimekuchanganya hebu komaa mwanaume tafuta pesa uishi vizuri na huyo mkeo wa kwanza utapotea ghafla kwenye ramani ya maisha kijana. kuwa makini komaa na maisha yako kama mwanaume
 
Wewe ni wa Dar? Kwahiyo unatuuliza uolewe au usiolewe? Ushapima afya yake? Yeyote mwenye mavumba akikuambia uhamie kwake uko tayari? Pam**vu sana wewe, nyie ndo mnatuaibisha wanaume dadadeeki zako. Mambo ya kijinga unakuja kuomba ushauri humu!!? Ppssyuuu, yaaani ungekua karibu ningekutandika kibao weweee!! Yaaani wewee [emoji117] ngoja[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Sikuridhia lilikua ni shinikizo, in fact alikuja na mama kama mgeni mwingine, nikajua yy na mama wana mambo yaliyowaleta hapa town, in the course of their stay, mama akaomba kwenda kumsaidia kaka yangu mkubwa kimara na atalala huko, cha ajabu hakurudi tena kwangu akapanda basi na kuondoka quietly, mm kuja kushtuka naambiwa eti ni mke ndio mama kaniachia hivyo
Na mm hapo nikawa nilishatembea nae karibu wiki nzima, nikijiambia by the time mama arudi niwe nimemfaidi, kumbe ndio mke
Ila unaonekana huna msimamo wa maisha yako pia. Hebu tulia
 
Wewe ni wa Dar? Kwahiyo unatuuliza uolewe au usiolewe? Ushapima afya yake? Yeyote mwenye mavumba akikuambia uhamie kwake uko tayari? Pam**vu sana wewe, nyie ndo mnatuaibisha wanaume dadadeeki zako. Mambo ya kijinga unakuja kuomba ushauri humu!!? Ppssyuuu, yaaani ungekua karibu ningekutandika kibao weweee!! Yaaani wewee [emoji117] ngoja[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Unatumia neno la kike "" psueee""* halaf na ww unajiita mwaumwe?
 
SIO UNAOMBA USHAULI KUMBE nyuma ya mgongo tayari unamaamuzi. hakuna anayekupenda duniani kama mama yako, kumuacha huyo mwanamke unatafuta ugomvi na mama yako(lazi). endelea na mkeo huyo mama nenda kamparamie hadi akome , lkn katu katu mkeo usimuache na wala wewe usihamie kwa huyo mama.
Hamna tatizo yy achukue hela tu asepe
 
Yaaani unataka uolewe na hilo jimama? Achana na huo ujinga dogo, usifurahie pesa za haraka haraka utakuja kujutia baadae. Baki na huyo mke toka kijijini mjenge maisha. Hilo jimama linataka kukutumia tuu kimapenzi then litakufukuza. Kwani katika mapenzi ni nini hupati toka kwa mkeo toka kijijijni? Au unapewa kinyume na maumbile (0713...)? (subiria hukumu ya mungu baadae).

Achana nae kabisa hilo jimama, mm nakueleza sababu yalishanikuta kama hayo.
 
Unatumia neno la kike "" psueee""* halaf na ww unajiita mwaumwe?
Mwalimu wako ndo kakufundisha Kuwa hilo ni neno la kike? Nyie bwabwa wa Dar na aliyetumia neno hilo nani mwanaume. Acha kuigiza maisha ndg yangu unapotea
 
ndoto za wengi hahahahahaha
ndio pa kutokea hapo, ana mavumba
 
Back
Top Bottom