Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Mwanaume gani huwezi hata kufanya maamuzi yako mwenyewe mpaka sie tukusaidie?
 
Ebu acha Umarioo, Tafuta pesa kwa bidii acha slope
 
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
Kwa boss unafata pesa au mapenz ya pesa?
 
Nina mashaka wewe bado una mawazo ya kitoto sidhani kama muda wa kuoa ulikuwa tayari! Umeshaoa halafu unaomba ushauri kwa jambo la kijinga namna hiyo! Ungemkatalia kwanza Mama yako kumpokea huyo mke aliyekuletea.
 
Huyo boss wako anataka service tu hana haja na mwanaume, alishaacha ndoa kama utakubali kuwa mwanaume zezeta sawa we nenda.
Yani mnapenda miteremko! Shauri zako we utafukuzwa kama mbwa.
 
Usiwe mshamba wa mapenzi na mwanaume marioo, jua nini unataka na ukifuate
 
Nakuonea Huruma sana tena ungekua mdogo wangu ningekuchapa vibao,umepewa mtego wakuhesabu mil 3 basi
ushaziona zako na ukalainika kabisa mtoto wakiume unataka kwenda kwa mwanamke,ulijiuliza mwenzio ameacha
kwanini? yule ameacha mali akaondoka wewe utaacha nini ukiondoka? tena angalia sana utajisahau umparamie
bila kinga oops wait a minute UNA MIAKA MINGAPI IF I MAY ASK?
 
Unataka kwenda kuolewa na boss!!
Wanaume huwa atuolewi bali tunaoa,what you do endelea kumega mpaka umjaze the mwambie Mnenge nyumba yenu kwa ajili ya mwanenu
 
Kijana tunaishi Mara moja Tu acha wakuite marioo Tu we nenda kwake ila mpime kwanza.Hakikisha kabla hujanogewa nae jua sababu ya mume kumuacha.

Hakikisha unatajirika kupitia yeye fasta.
 
Kaka tena usije ukajaribu kuhamia kwa mwanamke hata kama angekuwa na utajiri wa kununua Dunia, kazana na kazi yako utapata vyako, ukihamia kwake siku akikuchoka atakufukuza kama mbwa na hautaaamini macho yako, baki tu na mkeo aliekuletea mama, just imagine alikosana nini na mmewe wa zamani mpaka wakaachana? kaa mbali kabisa naye atakuharibia maisha.
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
 
We unachowaza hapo ni hela ya huyo unayenwita bosi wako. No more.!
 
nyie ndio mnafanya tutukanwe na wanawake hivi wewe mtoto wa kiume kabisa unawaza kuolewa na mwanamke na umuache mkeo na je cku na yeye akikutimua utafanyaje?
acha ufala tafuta vyako
 
Back
Top Bottom