Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Sikuridhia lilikua ni shinikizo, in fact alikuja na mama kama mgeni mwingine, nikajua yy na mama wana mambo yaliyowaleta hapa town, in the course of their stay, mama akaomba kwenda kumsaidia kaka yangu mkubwa kimara na atalala huko, cha ajabu hakurudi tena kwangu akapanda basi na kuondoka quietly, mm kuja kushtuka naambiwa eti ni mke ndio mama kaniachia hivyo
Na mm hapo nikawa nilishatembea nae karibu wiki nzima, nikijiambia by the time mama arudi niwe nimemfaidi, kumbe ndio mke
ahahahahahahahh sasa ww kumbe ulikuwa unataka kufaidi tuuu....hebu baki na mkeo hukoo
 
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
 
Amedai mwanadada ana vitega uchumi, isitoshe aliachiwa mali, kasema ana mavumba
pesa si kila kitu wajameni haswa ambazo si zako utateswa mpaka siku ya kuingia kaburini uwe mke au mume jitahidi kutafuta chako kwa njia ya halali na kwa jasho lako
 
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
Pole sana kaka kipindi unachopitia, kwa maelezo yako umeoa tayari mke unayedai uliletewa na mama toka kijijini lakini ukamkubali kuwa mkeo huku ukidai kuwa huyo dada mbosi wako alikushauri kumkubali huyo mkeo. Mshangao! Huyo dada amegeuka tena na kutaka na umuache mkeo umuoe yeye. Sasa nikwambie kitu! Uko kwenye jaribu unalotakiwa MAOMBI KWA BWANA, ukihakikisha kuwa humuachi mkeo ambaye ndiye zawadi yako rafiki. Kisha umueleze huyo boss wako kuwa hauko tayari kuwa naye kwani una Mke. Acha msisimko, kaa fikiri na kutafakari kwa undani maamuzi ya kiume na si kivulana.
 
G
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please

Ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno
 
Mkuu ebu achana na biashara ya kuhamia kwake atakuchoka mwezi mkubwa labda tu ukimuibukia kwake uwe kiburi na mtembeze kipigo ili aone humnyenyekei ila ukijitia dokta love utachokwa haraka wanawake wa ivo wanataka mtu kiburi na wakutembeza kipigo sambamba na show kali bed
 
Maisha yako kama Movie nayaona jinsi yatakavyokuwa machachu nakuangukia kwenye ufukara au kupata maradhi, kwanza utapata laana 2 ya mama yako na ya mke wako, NENDA KWAHUYO SHETANI MWENZAKO HALAFU UONE PINDI AKIJA KUKUCHOKA NA KUPATA BWANA MWENGINE, Hata hiyo kazi utakuja kuikosa na utabaki wewe na suruali yako miaka 30 hata nyumba huna aibu, wanaume mnakaribia kwisha kwakweli. NYIE NDIO MNAO WAHARIBIWA MAJINA BAADHI YA WANAUME WANAOISHI DAR
 
Kwanza kiukweli mwanaume huchaguliwi mke na wazaz wako ulipaswa kuwa na choice yako ww mwnyw sasa umeletewa mke na mama yako ukakubali ni tatizo na pili huyo mwanamke anakwambia uhamie kwake yeye atakuwa amekuoa ww na ukizingua tu lazma akutimue
 
Kweli marioo wanazidi kuongezeka ......mwanaume anajisifia kua mdada anahela mambo super.kwa style hiyo tegemea kupigwa kidole cha mk....nduni wakti wa mechi ili akili yko ikae sawa
 
wewe tumia akili zako kama mwanaume, yaani unamuacha mke afu unaenda kwa mwanamke aliyekuzidi miaka 4 na ana watoto we unadhani mumewe atakuchekea tu. msiyatafute matatizo hao wametengana ila mumewe lazima mali zake, watoto vyote vimuume na lazima awe na wivu pia. utauliwa kijana kwa sababu ya tamaa ya mali.....
kifupi ni hivi, tulia na mke wako, kwa mshahara wako jenga miradi n.k, anza kufikiria maisha yako na mkeo. huyo boss atakupotezea mda wako tu mwisho wa siku atakufukuza kumbuka mapenzi huchuja. hawezi akakuandika wewe mrithi wa mali zake wakati ana watoto wake. wanaume tumekuwa na ufikiri mdogo siku hizi hata wanawake wanatushinda.
 
Nikitazama kwenye ramli yangu siyaoni mapenzi yako dhidi ya huyo mama zaidi ya kuvutwa na mali zake tu....ni aibu kwa kijana wa kiume mwenye nguvu zake na afya njema kumtapeli mwanamke mali zake...huo unaouleta wewe ni utapeli kama utapeli mwingine isipokuwa tu wako umepitia kwenye mapenzi.....mwanamke anawezaje kupambana na maisha na kuyamudu maisha yake hadi wewe ushindwe na utamani mali zake....huku ni kuidhalilisha jinsia ya kiume.....
Sure bro
 
Rafiki, TAFADHARI, usifanye hilo kosa la KUHAMIA kwa mwanamke, baki kwako na ishi na mkeo aliyekuletea mama, huku kwa shugamamaa utakuwa mtumwa, na hautakuwa na sauti ya kumkosoa, siku kapata dume lingine, una shida!
Hahaha
 
Nikitazama kwenye ramli yangu siyaoni mapenzi yako dhidi ya huyo mama zaidi ya kuvutwa na mali zake tu....ni aibu kwa kijana wa kiume mwenye nguvu zake na afya njema kumtapeli mwanamke mali zake...huo unaouleta wewe ni utapeli kama utapeli mwingine isipokuwa tu wako umepitia kwenye mapenzi.....mwanamke anawezaje kupambana na maisha na kuyamudu maisha yake hadi wewe ushindwe na utamani mali zake....huku ni kuidhalilisha jinsia ya kiume.....
Hahaha
 
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
Tukushauri nini sasa ulishaamua.

Endelea na utekelezaji wa mpango wako.
 
Back
Top Bottom