Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Sikuridhia lilikua ni shinikizo, in fact alikuja na mama kama mgeni mwingine, nikajua yy na mama wana mambo yaliyowaleta hapa town, in the course of their stay, mama akaomba kwenda kumsaidia kaka yangu mkubwa kimara na atalala huko, cha ajabu hakurudi tena kwangu akapanda basi na kuondoka quietly, mm kuja kushtuka naambiwa eti ni mke ndio mama kaniachia hivyo
Na mm hapo nikawa nilishatembea nae karibu wiki nzima, nikijiambia by the time mama arudi niwe nimemfaidi, kumbe ndio mke
Nimecheka Sana.....

Daah...
 
Ujinga unakusumbua. Hakuna haja ya kuja kuuliza upuzi kama huo hapa na kutuomba ushauri wa kitu kilichowazi na hata moyoni mwako unalojibu.
 
Usimuache huyo uliyenae... mtumie huyo aliyejileta... pole sana.
 
Kuna mgongano wa kimaslahi hapo.Chukua tahadhari.
 
Acha kupenda dezo huyo dada ameona akupumz.Sasa ukihamia huko unaanzaje kuwa kichwa cha familia sasa.Kama sio utakuja hapa jamvini kuomba tukushauri mkeo anavyokufulisha nguo.

Si mnasemaga ni 50/50 sasa mbona mnamsakama kaka mkubwa huyu??
 
Mkuu huoi mpaka mama akuletee mke kutoka kijijini?hutongozi mjini mpaka uletewe papuchi ya bure na mama?halafu sasa humtaki unataka aondoke uhamie kwa mwanamke ambae mwanzo alikuwa ameolewa na ana watoto wawili,unahamia hapo kama nani?kuna tatizo kubwa sana kwa vijana siku hizi,kama kweli wewe wa kiume na una mapenzi na huyo mama mwenye watoto wawili,mfukuze huyo wa kijijini umlete huyo mwanamama na watoto wake uishi nao hapo kwako na uwe ndio provider wa kila kitu mpaka ada za hao watoto,si unampenda mama yao?
 
Acha kupenda dezo huyo dada ameona akupumzikie umuondolee upweke.Upweke ukimuisha jiandae na manyanyaso ya kutosha.Sisi wanawake hatukuumbwa kiwahudumia wanaume.Sasa ukihamia huko unaanzaje kuwa kichwa cha familia sasa.Kama sio utakuja hapa jamvini kuomba tukushauri mkeo anavyokufulisha nguo.
Dada yangu yaani wanaume wa Dar wanatudhalilisha wee acha tu!!
 
Amedai mwanadada ana vitega uchumi, isitoshe aliachiwa mali, kasema ana mavumba
mmh huyu jamaa akili yake haipo sawa ndiyo maana mama yake alimletea mke .... ila kama anaona anahitaji kuolewa aiende akaolewe
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mkuu sivyo hivyo unavyofikiria, mm na dada tunapendana na sio kwamba nataka kuchukua mali zake, lengo ni kumsitiri
Hapa anayemstiri mwenzake ni yupi??!! We unayehama kwako kwenda kwake ndo unastiriwa. Hiyo ndivyo ilivyo so do not mix the two! Na endapo siku akiona mfanyakazi mwingine akampenda, wewe nafasi yako ipoje? unapotaka kuhamia jiulize swali hilo pia.
 
Mkuu huoi mpaka mama akuletee mke kutoka kijijini?hutongozi mjini mpaka uletewe papuchi ya bure na mama?halafu sasa humtaki unataka aondoke uhamie kwa mwanamke ambae mwanzo alikuwa ameolewa na ana watoto wawili,unahamia hapo kama nani?kuna tatizo kubwa sana kwa vijana siku hizi,kama kweli wewe wa kiume na una mapenzi na huyo mama mwenye watoto wawili,mfukuze huyo wa kijijini umlete huyo mwanamama na watoto wake uishi nao hapo kwako na uwe ndio provider wa kila kitu mpaka ada za hao watoto,si unampenda mama yao?
We are living in a free world, kama mwanamke ana jumba kubwa la kifahari, ana mavumba, kwa nn wakaishi kwenye chumba na sebule?

Mbona tunakua conservative kiasi hiki?

Huyo dada hana haki ya kuleta mwanaume wakaishi wote hapo?

Kwa mujibu wa sheria ni nyumba yake hakuna wa kumpangia
 
Huyu jamaa sio bure inaelekea katumwa huyu au anatumika anakuja hapa kupima upepo
Kama watu wamekubaliana Kuna tatizo?

Dada wa watu upweke umemchosha ameona apate mwenzie, sasa si ajabu wamekaa Chini wakaishi huko kwa mwanamke kuliko kwenda kuishi kwa mshikaji madongo poromoka

Sioni tatizo

Hapa mjini kila mtu anajua jinsi alivyopata pesa, ni siri ya rohoni, wapo majambazi, wauza unga, waliodhulumu mirathi etc, hivyo kufadhiliwa na mwanamke ni moja wapo ya njia za kupata hela.

Ukitoka home na ndinga yako ukaingia mlimani city nani atajua unafadhiliwa na mwanamke?
Acheni hizo
 
Back
Top Bottom