Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Kweli wanaume tunazid kupungua. Wewe umeona pesa macho yamekutoka, mapenzi ni zaid ya biashara na umiliki wa mali. Ndio maana asilimia kubwa ya watu wanaokimbilia kuolewa au kuoana na mtu mwenye mali au pesa huwa wanaishia kulia na kujuta. Kajitumbukize motoni tu, maana hakuna namna
 
Sikuridhia lilikua ni shinikizo, in fact alikuja na mama kama mgeni mwingine, nikajua yy na mama wana mambo yaliyowaleta hapa town, in the course of their stay, mama akaomba kwenda kumsaidia kaka yangu mkubwa kimara na atalala huko, cha ajabu hakurudi tena kwangu akapanda basi na kuondoka quietly, mm kuja kushtuka naambiwa eti ni mke ndio mama kaniachia hivyo
Na mm hapo nikawa nilishatembea nae karibu wiki nzima, nikijiambia by the time mama arudi niwe nimemfaidi, kumbe ndio mke

Yaani bado umerudi kuongea huo utumbo wako hapa jukwaani???? Poteaaaaaaaa.....Sijaona mwanume feki kama wewe
 
Yaani UHAMIE KWA MWANAMKE?, Mungu saidia hapa: bora niwe nalala chini kuliko kwenda huko. Umewaza nini ndugu yangu? Mwanaume uliye umbwa kwa mfano wa Mungu unaenda kuolewa kwa sababu ya pesa ya mwanamke?. Hutaki kula kwa jasho baba?, mkeo sahihi ni huyo aliyetoka kijijini? all the best, tangaza kubariki ndoa nami nitakuchangia kwa urefu wa kamba yangu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.
Help please
Unajiuza? MAELEZO uliyoyatoa yanaonyesha kabisa unafuata mali na pesa
 
Hii thread inanikumbusha enzi za kaole sanaa group....kumbe yanatokea haya...
 
Na wewe unapenda kulea wanaume wa Dar, eti ehhhhh?
Uwamuzi ni wake sio wewe wala Mimi tutakao amua kuhusu maisha yake, hapa kaomba ushauri nimempa ninavoona mimi inafaa hehehe
 
Mimi binafsi nimewaza nikajiuliza kumbe zile taratibu za kuchaguliwa mke bado zipo,ni kosa kubwa sana ulishakosea awali kumpa mzazi kukuchagulia binti,hizi tamaduni gani za kishenzi ni vepe hapa huna macho ya kutafuta mke au uwoga huo ni uzembe uliokithiri hujiwi unacho kipenda,na kingine kama hujuwi huyo boss wako ameshajuwa weakness yako kwa kuwa ulimshirikisha maongezi jinsi wazazi wako walivyo kuchagulia mke na ameshakuona bwege sema hawezi kukuambia na anakuona hujuwi kujisimamia kimaamuzi na hii mbaya sana maana atakunyanyasia hapo, na ndo maana anataka akuhamishe kwa ubwege wako unaona mteremko kumbe ni mtego, na kumbuka utakapo hamia mkaanza safari ya ndoa huwa kawaida itafika point mtakuwa na mikwaruzo hapo atakaye pata shida sana ni wewe kwa kuwa yupo kwake na anaweza akakutimua sijuwi utaanzia wapi, wewe jipange tafuta kwanza maisha yako kapange sehemu nzuri ukiwa na utayari wa kuishi nae mwambie yeye ndo ahamie kwako halafu kwake apangishe usiwe mtumwa wa mapenzi yatakutesa sana jitahidi upendo wako uwe unatoka moyoni na upende kwa akili na hisia sio hisia peke yake, na kingine huyo manzi uliotafutiwa na wazazi fanya kila namna mrudishe mimi naamini hakunaga mapenzi yakutafutiwa mpenzi hilo sikubaliani kwa kuwa hakuna love hapo.
 
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
Marioooooo
Nganda la ndizii
Kitonga mtelemko tu 😀
 
Wanaume wa kibongo kwa kupenda mteremko hapo unataka kuhamia kwake kwasababu ana hela tafuta hela yako bro acha umarioo
 
Wewe na huyo boss wako wote akili zenu moja na mmekutana hv na wewe wakisema wanaume wasimame na wewe utasimama? Umeniudhi mpk basi
 
Hapo ulipo hujitambui. hujui kama kama anakupenda kwa dhati ama vipi. Ila wewe umepagawa na pesa na maisha yake. Be faithfull to your soul
 
Yaani UHAMIE KWA MWANAMKE?, Mungu saidia hapa: bora niwe nalala chini kuliko kwenda huko. Umewaza nini ndugu yangu? Mwanaume uliye umbwa kwa mfano wa Mungu unaenda kuolewa kwa sababu ya pesa ya mwanamke?. Hutaki kula kwa jasho baba?, mkeo sahihi ni huyo aliyetoka kijijini? all the best, tangaza kubariki ndoa nami nitakuchangia kwa urefu wa kamba yangu
Me nadhani kuhamia kwa mwanamke siyo jambo baya kwenye mahusiano ni jinsi walivyokubaliana wenyewe (kama walilijadili swala hilo) tatizo hapo ni kwamba jamaa amepagawa na noti za huyo boss wake..
 
Habari wadau,

Kuna boss wangu ambaye amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikuwa ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa.

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa katika mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi, juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million.

Ana watoto wawili na ni mzuri kwa kweli, ningekuwa nimeshahamia kwa huyu boss wangu lakini shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mimi ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma.

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa.

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati.

Help please
Ww n mwanaume wa dar?
 
du unasubiri nini, ana nyumba ya urithi na mali. dili hilo amia tu.

pu fu
 
Back
Top Bottom