- Thread starter
- #41
Mama, kwani Kuna ubaya kuamua kutafuta maisha pamoja na aliekutangulia? Kama Kuna mapendo kati yetu Kuna ubaya?mario mkubwa wewe ......... tafuta vyako
Mama, kwani Kuna ubaya kuamua kutafuta maisha pamoja na aliekutangulia? Kama Kuna mapendo kati yetu Kuna ubaya?mario mkubwa wewe ......... tafuta vyako
AHAHA AVATAR YAKO INANISISIMUAWe jamaa kama hii story ni ya ukweli ushachemka umejianika sana uyo bosi akija kusoma hapa ataona unataka ganda la ndizi utoke kimaisha
Teh teh..Huyu inabidi tumpige pesa mingi..Boss wake atalipa
Habari wadau
Kuna boss wangu ambae amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa Muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu
Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikua ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa,
Kwa zaidi ya wiki mbili sasa ktk mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi,
Juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million
Ana watoto wawili, na ni mzuri kwa kweli, ningekua nimeshahamia kwa huyu boss wangu Lakin shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mm ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma
Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?
Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa
Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati
Help pls
hamia kwake usijali, nakuomba nakuomba sana, huyu mke aliyekuletea mama usimrudishe kijijini , mlete nikuwekee, siku ukirudi nyumbani utakuja mchukua kwangu. pleeeeaseSidhani kama unahitaji msaada wakati unalo jibu lako tayari
we penzi lako linanunuliwaMama, kwani Kuna ubaya kuamua kutafuta maisha pamoja na aliekutangulia? Kama Kuna mapendo kati yetu Kuna ubaya?
Mama aliesema sifanyi kazi ni nani? Kazi tunafanya sana shida ni kuwa hatutoki kimaisha, sasa angalia mm nipo kazini miaka nenda miaka Rudi, sifanikiwi, sasa utafanikiwa ukiwa karani?Wanaume sikuhizi wanaongoza kwakupenda mteremko kuliko wadada.
Mwanaume fanya kazi, tafuta Mali zako kwa jasho lako uheshimiwe.
aisee wanaume tupo wachache sana hapa mjini....nachokushauri uyo mama wewe piga pumbu tu kistaili na pumbu la maana akolee akuachie hesabu zote upige vzuri na kumfisadi.....ila suala la kuhamia kwake ni big nooo!!!\
unaonekana huna msimamo wa maisha na ni type ya wale wanaume sarawili hasara tupu mnaopenda slope aka kitongaa...
hata uyo mwanamke wa kijijini umeletewa baada ya kupitiliza sana kuoa na humpendi kwasababu hana kisu...what a mess!!!
yani mwanaume kama wewe una mwisho m'baya sana hapa duniani..you are totally a failure na utakufa huna hata kijiko..
na unakaa kabisa like unaomba ushauri what to do!! jesus mwenzio am 31 na nyumba mbili mjini kwa kuvuja jasho hadi la mkunduni...na mke ananipa shikamoo kila asubuh,,,, ivi mmekuaje nyie??
hamia uone majuto yake....eti asubiri kodi iishe arudi kijijini..jingaaaa!! hata kiwanja huna mjini...unalo babu!!! hata mtoto huna!!! miaka 40 iyo apo....ukimwi ndio zawadi yako ukahangaike nayo!! maana akili huna
Hahahaah mwanaume wa DarUnaishi Dar!?
Mwanaume Wa dar[emoji3]Unaishi Dar!?
Kwaiyo suluhisho pekee uliloona ni kutumia mwili wako kutoka?Mama aliesema sifanyi kazi ni nani? Kazi tunafanya sana shida ni kuwa hatutoki kimaisha, sasa angalia mm nipo kazini miaka nenda miaka Rudi, sifanikiwi, sasa utafanikiwa ukiwa karani?
Kwa mshahara huu wa six digits ambao unasubiriwa na kijiji kizima hivi nitatoka lini kimaisha?
Sasa amekuja mtu ana mapenzi na mm na anataka kunisaidia tusaidiane maisha, Kuna ubaya?
Tunaoana, na si vinginevyo, kinachotuunganisha ni mapendo, kaniita tusaidiane kuendeleza hizo mali ziweze ku multiply ili ziweze kutunufaisha wote pamoja na watoto wake, hakuna ubaya, zaidi ya yote namsitiriHahaha dadeek nenda ukaolewe...mali alichuma na mumewe we unazitolea macho c zake ni za watoto wake...
Tafuta vyako then muite aje kwako akae
By the way she wants to use u as a sex machine...
Then Close this thread at earliest..Tunaoana, na si vinginevyo, kinachotuunganisha ni mapendo, kaniita tusaidiane kuendeleza hizo mali ziweze ku multiply ili ziweze kutunufaisha wote pamoja na watoto wake, hakuna ubaya, zaidi ya yote namsitiri
huna lolote mpenda slope....mwanaume mzima jinga!!Tunaoana, na si vinginevyo, kinachotuunganisha ni mapendo, kaniita tusaidiane kuendeleza hizo mali ziweze ku multiply ili ziweze kutunufaisha wote pamoja na watoto wake, hakuna ubaya, zaidi ya yote namsitiri
tupe historia ya hilo jimama!!! hehee kitonga katka ubora wakoMama, kwani Kuna ubaya kuamua kutafuta maisha pamoja na aliekutangulia? Kama Kuna mapendo kati yetu Kuna ubaya?
Na iwe kweli kama ulivyokusudia nafsini mwako.....Mkuu sivyo hivyo unavyofikiria, mm na dada tunapendana na sio kwamba nataka kuchukua mali zake, lengo ni kumsitiri