Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Mwalimu wako ndo kakufundisha Kuwa hilo ni neno la kike? Nyie bwabwa wa Dar na aliyetumia neno hilo nani mwanaume. Acha kuigiza maisha ndg yangu unapotea
Hilo neno linatumiwa na wanawake tu, period

Hata hapa jf nioneshe me alielitumia wewe ndio wa kwanza, neno hilo linatumiwa na wanawake tu, hivyo kwa kuwa umelitumia, ni wazi una vijimelea kule matakoni kwako vinakuwasha, hebu ni pm nikakusugue kidogo
 
Ni sawa hakuna anaependa kuolewa na mwanamke, the same way hakuna mtu anaependa kufanya ujambazi, au kuuza madawa ya kulevya au kupata hela kwa njia ya kudhalilika, hakuna

Kutafuta hela hakuna kanuni, yy aende kwa mwanadada, aishi kwa akili, achote pesa afanye vitu vya maana, siku akirudi kijijini kwao hakuna ataeuliza hela ametoa wapi
Si kila pesa huchotwa!
 
Aisee we jamaaa nadhani ushauri wa kavu kavu haukufai, inatakiwa unawashwa ngumi au kiboko huku unaendelea kushauriwa,

Maana umepitiliza.... uanaume gani sasa huu?
 
Habari wadau

Kuna boss wangu ambae amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa Muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikua ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa,

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa ktk mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi,
Juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million

Ana watoto wawili, na ni mzuri kwa kweli, ningekua nimeshahamia kwa huyu boss wangu Lakin shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mm ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati

Help pls
Ukiendekeza iyo tamaa hakuna rangi utaacha ona huko baadae
 
Nenda kale raha za mteremko maisha yenyewe mafupi ila utakapofukuzwa kama mbwa mwizi wa mayai usisahau kutupa marejesho. Kumbuka si kila homa ni malaria.
 
Hilo neno linatumiwa na wanawake tu, period

Hata hapa jf nioneshe me alielitumia wewe ndio wa kwanza, neno hilo linatumiwa na wanawake tu, hivyo kwa kuwa umelitumia, ni wazi una vijimelea kule matakoni kwako vinakuwasha, hebu ni pm nikakusugue kidogo
Chakula wewe, bwabwa kbs.
 
Wewe ni wa Dar? Kwahiyo unatuuliza uolewe au usiolewe? Ushapima afya yake? Yeyote mwenye mavumba akikuambia uhamie kwake uko tayari? Pam**vu sana wewe, nyie ndo mnatuaibisha wanaume dadadeeki zako. Mambo ya kijinga unakuja kuomba ushauri humu!!? Ppssyuuu, yaaani ungekua karibu ningekutandika kibao weweee!! Yaaani wewee [emoji117] ngoja[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Neno "" pssyuuu "" mbona kama linatumiwaga na wanawake? Sasa na wewe kweli unajiita mwanaume wa moja? Wanaofyonya hivyo ni wanawake mdogo wangu

Jiangalie wanaanzaga taratibu
 
Ujinga unakusumbua. Hakuna haja ya kuja kuuliza upuzi kama huo hapa na kutuomba ushauri wa kitu kilichowazi na hata moyoni mwako unalojibu.
wavulana wa Dar mpendwa,wavumilie tu ndivyo walivyokuzwa,kujitegemea kimawazo kwao pia ni tatizo.
 
Nasubiri pm yako nikakujolee kidogo, na leo Kuna baridi
Hakika we ni jinsia Ile ya tatu ya wanaume wa Dar, maana unajidhihirisha Kuwa wewe ni bwabwa kbs, unasubiri mwanaume aku pm, unasubiri kutongozwa ha ha ha haaaa, mtoto umeharibika wallah! Toto chips yai tayari ushatoa tako,... Basi subiri umanuliwe. Hivi ushaf**rwa mara ngapi. Nijue kama mafuta ya mgando yanahitajika au la.... (Nakusubiri uni pm) mume hasubiri bwabwa wewe.
 
Habari wadau

Kuna boss wangu ambae amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa Muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikua ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa,

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa ktk mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi,
Juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million

Ana watoto wawili, na ni mzuri kwa kweli, ningekua nimeshahamia kwa huyu boss wangu Lakin shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mm ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati

Help pls
jaga do nkoi,kale za bwerere,wanaume wa darisalaama bana duhh[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Neno "" pssyuuu "" mbona kama linatumiwaga na wanawake? Sasa na wewe kweli unajiita mwanaume wa moja? Wanaofyonya hivyo ni wanawake mdogo wangu

Jiangalie wanaanzaga taratibu
Ngoja nimfukuzie maana inaelekea mwenzetu siyo rizki mkuu, kanitia mashaka sana
 
Mama yako atakuwa alipata taarifa kuwa umehamia kwa jimama ambalo halitaki kuzaa tena, hakuna wajukuu. Huyu ndugu yako wa Kimara anajua mchezo wote.
 
Habari wadau

Kuna boss wangu ambae amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa Muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Wakati mama yangu aliponiletea mke kutoka kijjjini kwetu, mshauri wangu mkubwa kwenye sakata hilo alikua ni huyu dada, ambapo alinisihi sana nisimkatae huyo binti, nami nimeendelea kukaa na huyu msichana hadi sasa,

Kwa zaidi ya wiki mbili sasa ktk mazingira ambayo ni accidental tumejikuta tumeanzisha uhusiano wa kirafiki na huyu dada wa kazini, ameniita kwake mara kadhaa, amenipikia chakula kizuri, na tukapumzikia hapo hapo kwake mara kadhaa, sasa ameniomba nihamie kwake tufanye maisha pamoja, kwa kweli yupo vizuri sana kiuchumi, aliachiwa nyumba kubwa wakati wa kugawana mali na mumewe na alipata mali nyingi,
Juzi tu aliniomba nipitie hesabu kwenye moja ya biashara zake, karibu 3 million

Ana watoto wawili, na ni mzuri kwa kweli, ningekua nimeshahamia kwa huyu boss wangu Lakin shida huyu mwanamke wangu ambae mama alimleta amegoma kuondoka kwangu na kudai haendi kokote eti mm ni mumewe, sijui majirani wamemshika masikio au, sielewi, juzi nilimdanganya aende nyumbani kwa ajili ya pasaka akashtuka akagoma

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati

Help pls
wewe unawaza mali za yule boss wako tu, hata huwaz kama ana mapenz yakweli na asingekua na hizo mali we ungeenda kwake au ungekua na ukaribu nae??....Acha tamaa, hiyo ni tamaa tu ndo inayokusumbua.
 
Back
Top Bottom