Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

Acha kupenda dezo huyo dada ameona akupumzikie umuondolee upweke.Upweke ukimuisha jiandae na manyanyaso ya kutosha.Sisi wanawake hatukuumbwa kiwahudumia wanaume.Sasa ukihamia huko unaanzaje kuwa kichwa cha familia sasa.Kama sio utakuja hapa jamvini kuomba tukushauri mkeo anavyokufulisha nguo.
 
Mrudie muumba wako acha kupoteza muda! utajikuta unaishi kama popo kwa kupenda vya bure! Ungekuwa mtu wa Ibada usingekuja hapa kuomba ushauri tokaaaaaa!
 
Kwaiyo suluhisho pekee uliloona ni kutumia mwili wako kutoka?
Kutumia mwili wangu maana yake nn hasa? Maana kilichoanza kati yetu ni mapenzi, hilo la mali ni la pili, wenye mali kwenye kampuni yetu wapo wangapi? Mbona sikuwafuata hao? Huyu tumependana, na coincidentally ana mali, ana hitaji mwanaume wa kufanya nae maisha pamoja, yy ana pesa mm nakuja na mbinu biashara zipanuke, namsaidia yy na mm hapo hapo najisaidia

Nimekua na idea nyingi za kutoka na za ujasiriamali lakini shida ni Mtaji, sasa tatizo la Mtaji limepata ufumbuzi, tatizo ni nn hasa?

Kwa nn wanawake mnakua hivyo? Mnataka chenu kiwe chenu tu ila cha mwanaume kiwe cha wote, hivi mwanamke anaejiweza akimsaidia mwanaume aliekwama kimaisha Kuna ubaya?

Hebu niungeni mkono katika hili ndugu zangu
 
Acha kupenda dezo huyo dada ameona akupumzikie umuondolee upweke.Upweke ukimuisha jiandae na manyanyaso ya kutosha.Sisi wanawake hatukuumbwa kiwahudumia wanaume.Sasa ukihamia huko unaanzaje kuwa kichwa cha familia sasa.Kama sio utakuja hapa jamvini kuomba tukushauri mkeo anavyokufulisha nguo.

Acha kufulishwa nguo atafumua sana nywele zake na kupigishwa deki chooni!
 
Kutumia mwili wangu maana yake nn hasa? Maana kilichoanza kati yetu ni mapenzi, hilo la mali ni la pili, wenye mali kwenye kampuni yetu wapo wangapi? Mbona sikuwafuata hao? Huyu tumependana, na coincidentally ana mali, ana hitaji mwanaume wa kufanya nae maisha pamoja, yy ana pesa mm nakuja na mbinu biashara zipanuke, namsaidia yy na mm hapo hapo najisaidia

Nimekua na idea nyingi za kutoka na za ujasiriamali lakini shida ni Mtaji, sasa tatizo la Mtaji limepata ufumbuzi, tatizo ni nn hasa?

Kwa nn wanawake mnakua hivyo? Mnataka chenu kiwe chenu tu ila cha mwanaume kiwe cha wote, hivi mwanamke anaejiweza akimsaidia mwanaume aliekwama kimaisha Kuna ubaya?

Hebu niungeni mkono katika hili ndugu zangu

Tumia akili dogo naona unakaribia kufa uko unatapatapa hapa!
 
hahahaaaaaa! aibu mwanaume mzima uhamie kwa mwanaume uwiii hahahahaaa jaman janga hili tena kubwa haswaaaaa! uwiii haha hahaaaaa huoni aibu unaomba ushauri jaman huhuhuuuuu! anyway kuliko ukahamia uko bora itafute room sehem ingine hamia uko huyo mke uliyeletewa humpendi muache arud kijijini anza maisha acha uduanzi wa kukimbilia hesabu za mwanamke hahahaaaaaa.jaman mweeee wanaume wa dar!
 
samahani hapo mwanzo "aibu kuhamia kwa "mwanamke" "
 
Kutumia mwili wangu maana yake nn hasa? Maana kilichoanza kati yetu ni mapenzi, hilo la mali ni la pili, wenye mali kwenye kampuni yetu wapo wangapi? Mbona sikuwafuata hao? Huyu tumependana, na coincidentally ana mali, ana hitaji mwanaume wa kufanya nae maisha pamoja, yy ana pesa mm nakuja na mbinu biashara zipanuke, namsaidia yy na mm hapo hapo najisaidia

Nimekua na idea nyingi za kutoka na za ujasiriamali lakini shida ni Mtaji, sasa tatizo la Mtaji limepata ufumbuzi, tatizo ni nn hasa?

Kwa nn wanawake mnakua hivyo? Mnataka chenu kiwe chenu tu ila cha mwanaume kiwe cha wote, hivi mwanamke anaejiweza akimsaidia mwanaume aliekwama kimaisha Kuna ubaya?

Hebu niungeni mkono katika hili ndugu zangu
Maisha yako chaguo lako na maamuzi ni yako,kila la kheri Mkuu.
 
Hivi hadi leo mnaletewa wake na wazazi inaonesha nyie ni midomo zege mwisho utaishia ktk shimo think big maisha ni yk
 
Aahaaaaa! Ndo maana bando linakata kumbe kuna umafia unataka kufanyika hapa.
 
Hamna ukweli wowote katika hili, huyu jamaa ananogesha tu jukwaa kwa kuja na visa vya kutunga.
 
Anakupenda kwa dhati?! Ndio inakuaje hiyo?!
 
Personally, kuna statements naziona za kidwanzi sana;
"...wanaume tupo wachache sana"
"...we ni mwanaume wa darisalama" nk
Yes....
Haata Mimi naona Hiyo ya kwanza sio nzuri kivilee....inakeraaa
Yapili IPO kiutani zaidi...
 
Habari wadau

Kuna boss wangu ambae amekua kama mshauri wangu pia hapa kazini kwetu, yeye ananizidi kama miaka 4 hivi, tumekua karibu sana kwa Muda mrefu tukiheshimiana kama kaka na dada, si bosi wangu moja kwa moja bali mmoja wa line managers hapa kwetu

Sasa wadau mlikua mnanishaurije katika suala hili?

Au nihamie tu kule kwingine nimuache tu yule pale nyumbani kodi ya nyumba ikiisha ataondoka mwenyewe, maana mama yangu hataki kusikia namrudisha, nikianzisha mada hiyo tunakua hatuelewani kabisa

Yule bosi wangu ana mavumba, naweza kutokea hapo, na ananipenda kwa dhati

Help pls
Hakuna udhaifu mkubwa kwa mwananume kama huu, I thought mwandishi ni mwananmke, ningemsamehe
 
Back
Top Bottom