Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Daima mimi mkenya naonyesha uzalendoo!!! Lol kama hujaishi na wakenya its going be hard for yu usimlaumu sana ndivyo jinsi walivyo kenyans are black Germans sasa hayo mapenz wayataka ya kubembelezwa kuchikuchi sijui beby sijui nin never expect we give orders and even wen ordered we dont complain
Very few kenyans are humble and social lasivyo wote dont just try to accept him the way he is ila ukienda kwao expect the worse from that hakuna anaesema asante wala pole
we kuja we lete we nipe na ni chako so take time kama utarudi kwa wabongo ambae anakuambia beby naomba maji au we hebu lete maji hapa its you to decide
 
You don't have to fret just because your fellow Kenyan brotha has been condemned of being such a control freak, psycho, maniac, mkora and so on. The chick has the right to vent and voice her complaints to the JF and perhaps she can find some sort of comfort or solace from some of the comments or advice from others.
was just trying to put my point across, sorry if I came out wrong. the bigotry and xenophobic sentiments openly peddled in this forum is what really irks me as a Kenyan. Its obvious that you were baiting me on your post, waiting for a negative reaction from me, but i'll pass. Ijumaa kareem
 
Anapiga mashine lakini? Kama anapiga wasiwasi wako tuu oaneni mle marahaaa kwa sana, sa unategemea amuoe nani kama hz ndo tabia zake?
 
not your heart tells hii minyang'au haifai roho mbayaaaaa ,,,,,,,,,,ni bora uache yaoane yenyew na ww mapenzi yote ya Watanga unaenda kwa jaluo ,,,umebugi meeeen!
 
hahaha umenifurahisha hapo uliposema anatundika bendera za kenya mpaka bafuni duuu huo ni uzalendo ulipitiliza nimeipenda sana hiyo,ila kama jamaa ni handsome wa sura hadi kwenye mifuko na kama anakugegeda vizuri mi nakushauri usimwache.KUKU KUKU JOGOO JINA.
 
not your heart tells hii minyang'au haifai roho mbayaaaaa ,,,,,,,,,,ni bora uache yaoane yenyew na ww mapenzi yote ya Watanga unaenda kwa jaluo ,,,umebugi meeeen!

hahahahahahha nimeipenda hii
 
Wakenya asilimia kubwa ni wabinafsi..wanakiburi...wanajijali wao...
Hawana lugha tamu za kubembeleza..wao amri tuu!
Sio romantic!
Teh katika pitapita za kupunguza stress nilikutana na mmoja sikumaliza hata week mbili!!!!yani hata kiss sikumpa!... Ana amri!!!bahili!! Hajui kubembeleza hata!!hawajui kuvaa!
Black german kwel kweli..
Tho wazuri naskia wapo ila sijawameet nao.
Huyo wako mwache .
We iv umewaza spending the rest of yo fk*n life with him???
Kiruuu em waza upya utimue mtoto wa kitanga wee mahabat yote hayo yaishie bila majibu!!! Mweeeh
 
we leta hiyo mucheso yako nataka niikule leo. Nasema leo nata lalia wewe mbaka morning. Ako wapi boxer yangu. Ama siko na doo utado?
 
Sasa ao wanaume wa kikenya watamuona nani kama wanawake wote watawakataaaa.....?mi nahisi mapenzi ni hisiA,coz hata hapa bongo wapo wanawake wanaishi na wanaumewao kila siku kipigo but bado wanaendelea kukaa na hao wanaume wao.......keep on ur mind +((LOVE IS FEELING OF SOMEONE TO SOMEONE )))new dfnition.
 
umeshaona tabia zake hazikufurahishi usifikiri ukiolewa hizo tabia zitabadilika amua kuachana nae au kuolewa kuendelea kuvumilia hizo kero
 
mi mwenyewe ninaye mwanamke wa kikenya tabia zake zipo hivyohivyo
ukiridhia tubadilishane.
 
akumulikaye mchana uck ukuchoma.achananae tafuta m2 anaejal u2 wa m2 na co uyo wa kukupelekesha,cpend midume ya ivo loo!
 
kuolewa ya nini tena wakati mnaishi pamoja....! madada kwa kujisogeza kichwa kichwa...!
 
wewe na wewe unamatatizo, olewa kama unaona anafaa usitake ushahidi eti JF waliniambia
 
Back
Top Bottom