Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Mi kwa ushauri wangu bora uachane nae tu. Maana negatives zimekua nyingi kuzidi mazuri...sasa kwann upate shida. Tafuta unaeona anajali maisha yako.
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
tatizo mademu waki africa karibia wote mna ushamba wakuona mwanaume wa kutoka nchi nyingine ni kama mzungu hv..
Nachukizwa sana na huu ushamba wenu...:becky:
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

Mimi Mkenya, nitakujibu maana nimeitwa huku na Kaunga

1. Amri amri zipi, hujapeana mfano hata moja, labda ni tofauti za jinsi tunavyoongea. Wabongo hutumia neno "Naomba" ila sisi hutumia "Tafadhali".

2. Bendera ya Kenya unafaa uipende maana mila na desturi za Kiafrika, mwanamke akiolewa basi anamwaacha baba na mama na kuungana na mumewe kwao. Kuanzia hapo ujue wimbo wa taifa na kuwa Mkenya mwanzo mwisho. Kuna mademu wa Kibongo huku tunawapenda sana, wamekua wetu, hadi baadhi yetu tuna wivu kwa wale jamaa wafaulu kuwaleta Wabongo hapa.

3. Kuna mademu wakinuna huwa wanapendeza sana, ila ungeelezea kwa kina yeye hukukasirisha kivipi.
4. Wakenya tunapenda kuwapa wake zetu uhuru wa kujiamulia, na ndio unawaona wengi wa wanawake huku kwetu wapo very successful.
5. Jaribu muonyeshe kwamba una uwezo wa kufikiri na kushauri, inategemea na jinsi huwa unaongea, maana mwanamume hata hao Wabongo unaotaka, usipomwonyesha kwamba unaweza kutumia akili, atakuchukulia hivyo tu.
6. Jukumu la mwanaume ni kutatua matatizo sio kuguswa, yaani unataka hadi nitokwe na machozi ndio ujue nimeguswa?? Ukiwa na tatizo, wazo langu la kwanza kama mwanamme ni nini cha kufanya tusuluhishe kinachokuzingua.

8. Hilo la mwisho, ungeelezea zaidi ndio tujue ubinafsi wake upo kwenye nini hasa, maana sisi Wakenya tuna fahamika kwa kuwa wakarimu, mara nyingi nikiwa huko Bongo huwa naawambia kwamba tatizo letu kubwa Wakenya ni jinsi ya kutumia hela, yaani tunazo sana lakini hatujui kwa kuzipeleka. Na kama yeye huyo mwaume ni mbinafsi kwenye masuala ya hela, basi hana Ukenya, ni mse.nge tu na tupilia mbali.

kui
 
Last edited by a moderator:

Very well explained
 
8. Hilo la mwisho, ungeelezea zaidi ndio tujue ubinafsi wake upo kwenye nini hasa, maana sisi Wakenya tuna fahamika kwa kuwa wakarimu, mara nyingi nikiwa huko Bongo huwa naawambia kwamba tatizo letu kubwa Wakenya ni jinsi ya kutumia hela, yaani tunazo sana lakini hatujui kwa kuzipeleka. Na kama yeye huyo mwaume ni mbinafsi kwenye masuala ya hela, basi hana Ukenya, ni mse.nge tu na tupilia mbali..

Aisee ume reverse hizi tuhuma against Kenyan men vizuri sana kweli mnajua bembeleza wanawake, hii confidence si ya kawaida. Atii tatizo lenu kubwa ni jinsi ya kutumia pesa na si pesa zenyewe!,....heheheh!, sikuwezi wewe!
 
Tuwasiliane mimi ni Mbongo mwenzio, huyo hakufai.
 
Mimi Mkenya, nitakujibu maana nimeitwa huku na Kaunga

1. Amri amri zipi, hujapeana mfano hata moja, labda ni tofauti za jinsi tunavyoongea. Wabongo hutumia neno "Naomba" ila sisi hutumia "Tafadhali".

2. Bendera ya Kenya unafaa uipende maana mila na desturi za Kiafrika, mwanamke akiolewa basi anamwaacha baba na mama na kuungana na mumewe kwao. Kuanzia hapo ujue wimbo wa taifa na kuwa Mkenya mwanzo mwisho. Kuna mademu wa Kibongo huku tunawapenda sana, wamekua wetu, hadi baadhi yetu tuna wivu kwa wale jamaa wafaulu kuwaleta Wabongo hapa.

3. Kuna mademu wakinuna huwa wanapendeza sana, ila ungeelezea kwa kina yeye hukukasirisha kivipi.
4. Wakenya tunapenda kuwapa wake zetu uhuru wa kujiamulia, na ndio unawaona wengi wa wanawake huku kwetu wapo very successful.
5. Jaribu muonyeshe kwamba una uwezo wa kufikiri na kushauri, inategemea na jinsi huwa unaongea, maana mwanamume hata hao Wabongo unaotaka, usipomwonyesha kwamba unaweza kutumia akili, atakuchukulia hivyo tu.
6. Jukumu la mwanaume ni kutatua matatizo sio kuguswa, yaani unataka hadi nitokwe na machozi ndio ujue nimeguswa?? Ukiwa na tatizo, wazo langu la kwanza kama mwanamme ni nini cha kufanya tusuluhishe kinachokuzingua.

8. Hilo la mwisho, ungeelezea zaidi ndio tujue ubinafsi wake upo kwenye nini hasa, maana sisi Wakenya tuna fahamika kwa kuwa wakarimu, mara nyingi nikiwa huko Bongo huwa naawambia kwamba tatizo letu kubwa Wakenya ni jinsi ya kutumia hela, yaani tunazo sana lakini hatujui kwa kuzipeleka. Na kama yeye huyo mwaume ni mbinafsi kwenye masuala ya hela, basi hana Ukenya, ni mse.nge tu na tupilia mbali.

kui

Hakuna kitu apo ni undunya wenu tu hamna tofaut na maasai
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha nimependa no 2,,kwa iyo ata papuchi anataka sio anaomba?,,hhaahhaha
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

Na wewe weka zako za Tanzania
na wewe usimjali
 
Back
Top Bottom