tatizo sio ukenya wake ndo ukimbie mbio kwenda kwa mbongo, hapo tatizo ni la mtu binafsi sio nchi, unaweza kumpata huyo mtz halafu akatundika bendera za chadema kuanzia nje ya nyumba hadi boxer anayovaa. ushauri wangu ni kwamba hebu kerwa na tabia ya mtu binafsi sio nchi then badili chaguo la mtu sio nchi. amen
Huyo keshaonesha atakuwa mababe akikuoa takudunda mpaka uipate fresh.kwanza kwa nini bado uko kwake hapo? ama umefuata mchuzi? kama ana mihela basi ingia kwa ajilio ya mihela chota halafu talaka lakini kamani ndoa kwelikweli hapo haipo maana anakuoana wwewe wa chini sana
Kwani hana MONEY hayo mambo mengine ni ya KUVUMILIANA tu!Ishitoshe katoka nje ya nchi so UNAUZAJE KWA MASHOSTI???
na wewe weka bendera za tanzania tokea nje mpaka chooni
Kwa hiyo hizo bendera ni kikwazo sana? Na wewe weka za nchi yako kila mahali hapo ngoma itakuwa droo
Umemjaribu msouth sudan
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri
Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

You don't have to fret just because your fellow Kenyan brotha has been condemned of being such a control freak, psycho, maniac, mkora and so on. The chick has the right to vent and voice her complaints to the JF and perhaps she can find some sort of comfort or solace from some of the comments or advice from others.Are you looking for relationship advice in a public forum? Have you considered sitting him down and discussing your problems together like f*cking grown ups other than airing your dirty draws in public? Is his nationality a problem to you, because it looks like you fruits are pretty good at stereotyping. Have you considered the fact that you might be the problem? Maybe you are too shallow for his liking (that's why he keeps avoiding conversations with you) and he is just stringing you along coz you are (somehow) good in the sack? There are a lot of possibilities here, but I honestly think you are the problem here, I bet you dont even know his real names and the fact that he might be married back home and he's probably using you for sexual favors, coz buying a prostitute in Dar is kinda expensive and risky. but what do I know.