Tuwasiliane mimi ni Mbongo mwenzio, huyo hakufai.
mrejesho uko wapi? uliolewa au la?
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri
Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

lakini bado hujajibu swali languOooh jaman nilitoka kwa muda kidogo hii mada imenikumbusha vitu vingi sana
lakini bado hujajibu swali langu
Okay, ni vizuri kama hamuendani ni kuachana tu hamna namna, sasa vipi nafasi ishajazwa hiyoo? habari ya hapaMakoyo Niliachana nae huyo MTU, hatukuendana
Okay, ni vizuri kama hamuendani ni kuachana tu hamna namna, sasa vipi nafasi ishajazwa hiyoo? habari ya hapa
Si wewe mwenyewe uliemtaka mtu toka nje
Kwako wewe inaelekea mtu wa nje ni no moja mtz baadae
Naam, haswaaVip wataka kuijaza?????
Umesahau namba 7Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri
Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
Umesahau namba 7