Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Kuna mdau aliuliza huko page za nyuma kua etii "iliyokatwa na isiyokatwa ipi tamu"? Jibu tafadhali. habari ya hapa
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

Swali la msingi...ipi tofauti kati ya iliyokatwa na isiyokatwa ?
 
Wakenya wamaisha ya ajabu sana, nimekaa kenya maeneo ya westlands dah, hawapo romantic kwa wake zao, hata jinsi wanavo ishi hawapo social kabisa
 
Nautukome!
Kama STANELY ANN DANHAM angekuwa na akili kama yako, OBAMA, the first AFRICAN USA president angetoka wapi?

Unasahau kwamba kuna 4 types ya temperaments:-
Sanguine,
Choleric,
Melancholic,
& phlegmatic.
Na hiki ndicho chanzo cha mausiano kutodumu.

Kila moja ina a suitable match ambapo ukichangua anayekufaa mtaendana vizuri iwe wewe ni Mbongo au Mkenya.

More so, wewe ni extrovert au ni introvert?
Examine yourself and make a choice pasi kuangalia kabila, dini, uraia au maumbile!
Lakini uangalie your match.
NO MORE NO LESS.

NB. I am a proud Kenyan man married to a proud Tanzanian lady na we are proud to be associated with each other, BUT DO WE SAY?
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
Pole sana kila mtu anamatatizo unaweza pata mmbongo sawa lakini wabongo wadanganyif utakoma na kukoma mi nimeolewa na mkenya na mi ni mtz tumefunga ndoa life linasonga kama kawa we nitafute pm nikuelekeze
 
Mimi Mkenya, nitakujibu maana nimeitwa huku na Kaunga

1. Amri amri zipi, hujapeana mfano hata moja, labda ni tofauti za jinsi tunavyoongea. Wabongo hutumia neno "Naomba" ila sisi hutumia "Tafadhali".

2. Bendera ya Kenya unafaa uipende maana mila na desturi za Kiafrika, mwanamke akiolewa basi anamwaacha baba na mama na kuungana na mumewe kwao. Kuanzia hapo ujue wimbo wa taifa na kuwa Mkenya mwanzo mwisho. Kuna mademu wa Kibongo huku tunawapenda sana, wamekua wetu, hadi baadhi yetu tuna wivu kwa wale jamaa wafaulu kuwaleta Wabongo hapa.

3. Kuna mademu wakinuna huwa wanapendeza sana, ila ungeelezea kwa kina yeye hukukasirisha kivipi.
4. Wakenya tunapenda kuwapa wake zetu uhuru wa kujiamulia, na ndio unawaona wengi wa wanawake huku kwetu wapo very successful.
5. Jaribu muonyeshe kwamba una uwezo wa kufikiri na kushauri, inategemea na jinsi huwa unaongea, maana mwanamume hata hao Wabongo unaotaka, usipomwonyesha kwamba unaweza kutumia akili, atakuchukulia hivyo tu.
6. Jukumu la mwanaume ni kutatua matatizo sio kuguswa, yaani unataka hadi nitokwe na machozi ndio ujue nimeguswa?? Ukiwa na tatizo, wazo langu la kwanza kama mwanamme ni nini cha kufanya tusuluhishe kinachokuzingua.

8. Hilo la mwisho, ungeelezea zaidi ndio tujue ubinafsi wake upo kwenye nini hasa, maana sisi Wakenya tuna fahamika kwa kuwa wakarimu, mara nyingi nikiwa huko Bongo huwa naawambia kwamba tatizo letu kubwa Wakenya ni jinsi ya kutumia hela, yaani tunazo sana lakini hatujui kwa kuzipeleka. Na kama yeye huyo mwaume ni mbinafsi kwenye masuala ya hela, basi hana Ukenya, ni mse.nge tu na tupilia mbali.

kui

Nalo neno
 
Last edited by a moderator:
....Mimi nimemtema demu (manzi) wangu wa Kikukuyu kwa tabia za kunifokea na uchoyo wa papuchi !
Damu ana kisirani na hachagui maneno, ubabe.

Nimekaa nae more than 4 yrs. Nikaoa mtanzania mwenzangu ghafla tu, mwaliko nikampa kupitia facebook ! habari ya hapa, MK254
 
All in All kuna wakenya wako poa tu na hawana shida yoyote na wanajua kujali n they are romantic. Hiyo yako ni stereotyping tu.
 
Naamini we nimvumilivu xana.
Haya majamaa Yana mitwangio balaa!
 
....Mimi nimemtema demu (manzi) wangu wa Kikukuyu kwa tabia za kunifokea na uchoyo wa papuchi !
Damu ana kisirani na hachagui maneno, ubabe.

Nimekaa nae more than 4 yrs. Nikaoa mtanzania mwenzangu ghafla tu, mwaliko nikampa kupitia facebook !

Pole bandiwe , Hawatofautia sana aisee , vip Hajawahi kukupiga maana nasikia wanawake wa Kenya wanapiga wanaume,
 
All in All kuna wakenya wako poa tu na hawana shida yoyote na wanajua kujali n they are romantic. Hiyo yako ni stereotyping tu.

Hapana niliyekutana nae mie alikuwa kiboko,
 
Pole sana kila mtu anamatatizo unaweza pata mmbongo sawa lakini wabongo wadanganyif utakoma na kukoma mi nimeolewa na mkenya na mi ni mtz tumefunga ndoa life linasonga kama kawa we nitafute pm nikuelekeze

Uko sahihi lkn kwa huyu aliyekuwa Dia wangu mmh, nitakutafuta mpendwa
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

Eboo! Jibu umelitoa mwenyewe unataka ushauri upi tena.
 
Back
Top Bottom