Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

hizo nilizo bold ni changamoto kiukweli
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
 
Kwani mnaishi bongo au Kenya? Kama mpo bongo mlengeshe kwa uhamiaji tu operation kimbunga imzoe.
 
Kuna mtu aliuliza kabila gani hapo juu,nimeishi na wakenya,wana ukabila sana,achana naye utapotea
 
amani ya roho yako iamue ndani yako....inaonesha hauna amani naye. why even think of kuendelea mfike mbali? weakness unazoziona sasa kwenye ndoa zikuwa x1000. are you ready kwa hilo kama sasa unaona ni kero, unafikiri utaweza kumvumilia ktk ndoa?


Cina amani nae kabisa mkuu
 
Kutokana na hiyo sababu namba 1 inawezekana huyo ni KDF, hivyo inawezekana kabisa akawa ni mwizi, ref. westgate saga.
Sepa haraka
 
Wew ni yule sizitaki mbichi hizi, sasa kama ulijua bora wa kibongo mkenya ulmtaftia nini, sasa skia mwambie oparesheni kimbunga 2 inakuja kwahyo atafute pakukimbilia
 
Sasa umeshaziona hizo tabia na hazijakufurahisha halafu unakuja kuomba ushauri uolewe au usiolewe, aisee...!
 
Ndoa haionjwi kama asali, ulianzaje kuishi naye kabla ya ndoa? Kama unavyoona yeye ana mapungufu hata yeye pia yawezekana anaona wewe una mapungufu. Intermarriages kawaida zina matatizo ya kimtazamo. Jambo la kawaida kwa wazigua sio la kawaida kwa wasukuma. Ukienda kitaifa inakuwa mbaya zaidi. Lakini, ''Aonaye mbali nakwao, asipodanganya hudanganywa''
amani ya roho yako iamue ndani yako....inaonesha hauna amani naye. why even think of kuendelea mfike mbali? weakness unazoziona sasa kwenye ndoa zikuwa x1000. are you ready kwa hilo kama sasa unaona ni kero, unafikiri utaweza kumvumilia ktk ndoa?
 
Hapo kwenye bendera pameniacha hoiii,na akishakuoa lazima nje ya nyumba aweke ile ya mlingoti kabs ipepee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom