Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

yaan stress zoote izo pia bahili... me nikajua anahonga ndio maana umeamua kuchumia kivulini hapo loolz!
well kuna msemo usemao bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuchagua mwenza! sasa kazi ni kwako mpenzii fanya maamuz wakati unali na muda wa kufanya ivyo.
 
Smatta wewe ni mkenya totaly ndo mana unamtetea huyo f**a mwenzio...pfuuuu wakenya

Sent using JamiiForums
 
umeshajaribu wa kibongo ukaona si sawa na mkenya?

mbona unataka kudanganya uma wa jf hivi hivi?

hebu kafanye research halafu uje u-renew uzi!
 
Anakutumia tu huyo hana lolote....labda njia ya kupata ardhi ya kwenu Tanga, huyo wewe unaelekea wala humpendi ila basi tu....fanya maamuzi nahisi kwa maelezo yako ni kero sana kwako
Hizo tabia zimesababishwa na Ukenya wake?

Mnaishi TZ au Kenya? Asijekuwa anatafuta njia ya kupata ardhi wee umezubaa tu.
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

Africa unite!
 
Segere nini
 
Vipi mmefikia wapi? Mliachana.miaka Karibu miwili sasa imepita hebu tupe mrejesho.
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

Huu uzi ni wa siku nyingi sijui km hawa watu watakuwa bado kwenye mahusiano.
 
Wakenya sio Black Germans, kitu walichofanya Wajerumani kwenye hii dunia Kenya hata ikipewa nyongeza ya miaka 100000 mbele haiwezi fanya.
Hawa watu ni wabinafsi sana, nimewahi ishi nao hata wao kwa wao hawapendani.
Pili wasichana wao hata babu zao wazuri. Mtu akicheka ni kama analia, akiwa amenuna utakimbia.
Bora upate hawa wa kutoka Mombasa wao angalau wanafanana na Mama zao, wana Lugha nzuri, warembo, wanajiheshimu
 
Back
Top Bottom