Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Bora mwanaume wa kibongo kuliko mwanaume mkenya

Ma dia ndoa ni jambo c la kukurupukia.. Jitathmin je naweza kuishi na mapungufu alionayo mwenzio? Zaid maamuz ya mwisho unayo ww
 
Achana naye,mkenya huwa haoi kabila lingine zaidi yake.
 
hiyo no 2 ya kutundika bendera imenifurahisha. Tayari unajua nini unataka either ukubali kuolewa naye uvumilie maudhi yake au uachane naye. Listern to your heart.
 
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha. Mwitikie "YES SIR"
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya. Na wewe weka za kwenu (sijui Burundi, Rwanda, TZ?)
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika. Nuna muda mwingi huku ukimwambia "am annoyed"
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa. So what? Fanya!!
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho. Mpe tunda, story zitakuja tu!
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo. Tatua mwenyewe ebo!
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri. Mfanyie vizuri atakurudishia vizuri!

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

Ushauri upo hapo juu kwenye blue.
 
Huyo mtu kuishi nae ni mzigo, kama Unaweza achana nae mapema tu asikutese hapo baadae. Saa zingine namna za kuchukulia mambo zikitofautiana ni ngumu sana kuwa na raha
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-
1. TUkiwa chumbani yy ni amri amri tu hadi kuna kucha
2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbani hadi bafuni katundika bendera ya Kenya
3. Anapenda sana kuniona nimekasirika
4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa
5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story za hapa na pale yy
mkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho
6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo
8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yy tu vitu vizuri

Bandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije
 
na wewe weka bendera za tanzania tokea nje mpaka chooni
 
inavyoonekana wewe siyo msupuuu kwake ndo maana iko kufanyia kwa hivyo, sasa cha ku do we jiongeze kiakili upate cha kukusitiri mbele ya safari.
 
ndoa ni furaha na kufurahia maisha ukilinga na kujimwayamwaya sasa we ushaanza kuona vitimbi mapema...hauwezi pata furaha, ila muache kistaarabu sana wakenya wanawivu wa mapenzi anaweza fikiri ushampata mtz mwenzako akakudhuru kwa wivu wake
 
Kinachowezekana leo kisingoje kesho..
Ndio maana unaona watu weng wanakuja humu jamvini na malalamiko juu ya ndoa zao,,kuna vitu waliviona kabla ya ndoa ila kwa iman wakaona vitabadilika..tatizo baada ya ndoa yale yaliyoonekana yatabadilika yanaongezeka maradufu ndo hapo ndoa inakua chungu unaanza kutafuta pa kutokea!
 
Kha! we dada vipi inakuwaje K zetu mnaenda kuwapa wageni na kutuacha kaka zenu tunapiga puli?achana naye huyo Mkenya halafu njoo kwangu nikupe mapenzi ya kweli.
Nalog off
 
Teh teh teh, mbongo akawa anatundika bendera za sisiem kuanzia getini, sebuleni, koridoni chumbani, vyooni na bafuni!
Uamuzi ni wa kwako, but mind you, unaweza kupata MBONGO pasua kichwa afadhali hata ya huyo Mkenya!
 
Dada hapo hakuna ndoa ya furaha. Niaje wewe? Shida yako ni gani wewe msupuu mrembo?
Bora umwache huyo charlie wako na umwombe Mungu akupatie charlie toka pande ingine. Mpikie dinner ya sukuma wiki na getheri kwa mara ya mwisho halafu muage kabla hajaanza kuwa mkora na kukuchapa.
Life is about choices we make.
Mungu akubariki.
 
Kwani ulipataje, Lazima kulikuwa na mvuto uliokuweka karibu naye. Isije ikawa wewe ndiyo tatizo. fanya tathmini kwanza haya yanayotokea sasa ulishiriki vipi kuyaanzisha kabla ya kutupa lawama kwa mwenzio.
 
Back
Top Bottom