Bora kuwa single!

Bora kuwa single!

😂😂😂😂😂

Ni hitaji la binadamu, wataalamu wote waliochambua Hirerachy of needs hakuna aliyekanusha love/being needed/to belong kama sio hitaji la mwanadamu.
Namwelewa mtoa mada, kupata life partner sio kitu rahisi hasa kwa dating pool iliopo sahivi imejaa wadada gold diggers, na wanaume wa hovyo.

Pia hii hali ya unaemtaka hakutaki usiemtaka ndo anakutaka mtu usipofanya maamuzi magumu unashtuka miaka 50 hii hapa uko single huna mtoto binti kiziwi
 
Sielewi kuhusu wanaume mnafanyaje kumpata exactly mnayemtaka sababu ninyi ndio watafutaji, na kwenye hilo sijui itakuwaje kama hali ndio iko hivyo.

As for we women, we attract….. so mtu asiniambie kati ya 15 wanaomtaka hamna hata mmoja anayemuona anafaa, Lazima tujifunze kupokea upendo kutoka kwa wale wanaotutaka…. Hii kauli ya ninayemtaka hanitaki ikitoka kwa mwanamke nitashangaa sana! 😮
 
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.

Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Hongera Sana Mkuu.
 
Ushaanza kuzeeka hapo huna mtoto wala mke utakuja ku wish ungekuwa nao
 
As for we women, we attract….. so mtu asiniambie kati ya 15 wanaomtaka hamna hata mmoja anayemuona anafaa, Lazima tujifunze kupokea upendo kutoka kwa wale wanaotutaka…. Hii kauli ya ninayemtaka hanitaki ikitoka kwa mwanamke nitashangaa sana! 😮
Nimekutumia ujumbe tangu Jumamosi umekaa hujajibu unakuja unajibu Jumatatu? Ila sawa tu naona utakua haujasikia nilichokwambia
 
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.

Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.

Kuishi na watu wengine hasa wanaokuhusu kunahitaji Akili sana Mkuu.
Kama umvivu wa kutumia akili sawasawa bora usijiingize kwenye mahusiano yoyote
 
Sielewi kuhusu wanaume mnafanyaje kumpata exactly mnayemtaka sababu ninyi ndio watafutaji, na kwenye hilo sijui itakuwaje kama hali ndio iko hivyo.

As for we women, we attract….. so mtu asiniambie kati ya 15 wanaomtaka hamna hata mmoja anayemuona anafaa, Lazima tujifunze kupokea upendo kutoka kwa wale wanaotutaka…. Hii kauli ya ninayemtaka hanitaki ikitoka kwa mwanamke nitashangaa sana! 😮

Ukiona hautakiwi ujue huna mvuto. logical ipo hivyo.
Watu hutaka wale wanaowavutia.
Kuna mvuto WA kimaumbile,
Mvuto wa vipaji
Mvuto wa kazi na kipato.
Mvuto wa nguvu au cheo.

Inawezekana vipi MTU akakosa yote hayo?
 
No asil yangu tangu ukuaji wangu sinaga mazoea na wadada
Alaaah! Kumbe we shoga!!?
Hayo mamlaka ya kuropokaropoka kuhusu mambo ya wanaumme rijali nani kakuruhusu??

Sasa nasema hivi, ulitakiwa upate mume wa kukushughulikia ipasavyo kabla "makebo" hayajalegea.
Sasa na umri huo wa 46+ bado una matarajio ya kudangisha kundu lililo legea.
 
Kwa huo umri unajipikia inamaana hata sufuria unasugua. Kibongo bongo umefeli vibaya.

Nakama ndio ulikuwa unatumbua tu pesa zako kula rahaa hukuwekeza kwa huo umri wako utapata tabu sana hata kuja kuanzisha mahusiano maana umri umeenda na hauna kitu

Labda upate mjane mmalizie maisha na hata ukipata mtoto utapata tabu sana kumlea maana ni wa uzeeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom