Bora kuwa single!

Bora kuwa single!

Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke, hakuna anayenipa stress nipo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Hacha miaka isogee sogee, stress ulizozikimbia ujanani utazipata uzeeni. Omba Mungu akupe uhai ufikie 70,80 yrs.
Unacheza mchezo wa mbuni, hujalikwapa tatizo bali umelisogeza mbele.
 
pakizingua najitia kitanzi niend nkapumzike kaburin maan dunia imenchosha
 
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke, hakuna anayenipa stress nipo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
fany uwe ata na watoto kaka,,,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom