Bora kuwa single!

Bora kuwa single!

Kwenye hii post nimetoka na point mbili-;
1 nimegundua humu kataa ndoa hawamo.
Kumbe huwa wanasapot huenda ni stress za mahusiano.

2 huenda team kataa ndoa ina ukomo wa mda/umri.
Na nadhan mwisho wa kataa ndoa ni age ya 35
 
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.

Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Mkuu nakubaliana nawe kwa 80%. Kuoa sio muhimu lakini kuwa ja watoto ni muhimu. Na pia unapaswa kuwa na mpenzi (sio mke) kwa ajili ya kukata kiu na kukuzalia watoto. Ukifanya hivyo nitakukubali 💯%.
 
Asante kaka ila umr ushasonga 46 yrs sio mchez

Mwanaume hazeeki kaka tafuta love km unakwama tukuunganishe na mabikra hapa wazee, 46 mtoto kbs! Mi nimezaliwa na mzee wangu akiwa na 50 na nikapata wadogo 6 yani kazaa hadi ana 73! Na mama yangu alikua na 20 ss ana 70 ndo ujue nina umri gani sasa

Acha kujinyima haki ya kupendwa na kupenda, hii umeumbiwa ndugu ni ya kuichukua tu
 
Kwenye hii post nimetoka na point mbili-;
1 nimegundua humu kataa ndoa hawamo.
Kumbe huwa wanasapot huenda ni stress za mahusiano.

2 huenda team kataa ndoa ina ukomo wa mda/umri.
Na nadhan mwisho wa kataa ndoa ni age ya 35
😂😂😂😂😂

Ni hitaji la binadamu, wataalamu wote waliochambua Hirerachy of needs hakuna aliyekanusha love/being needed/to belong kama sio hitaji la mwanadamu.
 
Ngoja uumwe humo ndani, ndugu zako watashtukia umeshakufa. Na ukizeeka huna mtoto ndo taabu utakayoijutia, utafanya kazi za nyumbani una miaka 70?
Akifa atakuwa hajui, haimuathiri.

Labda akizeeka, hata huyo mtoto hauna uhakika kama atashow up muda wote.

Kwa kawaida binadamu anapaswa kubelong mahali, watu wa “kwako” hata wasiposhow up mahali kwa wakati kuna ile hali ya kusema ila ni wa kwangu. Na fact ya maisha ni kuwa kuna kipindi kila mtu atakuwa busy, marafiki hawatakuwepo, ndugu na jamaa hawatakuwepo, trick iko hapa… Nyumbani kwako kunatakiwa kuwa na namna ambayo watu watavutiwa kuja, watoto wa ndugu, wajukuu etc Hao ndio watakao kukuangalia uzeeni.

Hata ukiajiri house helper hatoshow up muda wote kwa kadiri muajiri unavyotaka. Wamama ambao tunakaa na wafanyakazi tunalijua hili.

Bottom line inapaswa kujipanga sana kwa maisha ya uzeeni.
 
Ngoja uumwe humo ndani, ndugu zako watashtukia umeshakufa. Na ukizeeka huna mtoto ndo taabu utakayoijutia, utafanya kazi za nyumbani una miaka 70?
Hawezi kuajiri mtu kwa ajili ya shughuli kama hzo?
 
Binadamu kutoweka duniani ni tatizo kivipi?
Ni tatizo kwa binadamu tunaotaka tuendelee kuwepo mkuu.
Mbona dunia ilikuwa bila binadamu kwa miaka zaidi ya bilioni 14 na ilikuwa kawaida tu?
Kipindi hicho hatukuwepo boss, sasa hivi tupo.

Mfano, utake kuifuta JF kwa kuhoji JF kutokuwepo miaka ya 90 kwamba mbona ilikuwa kawaida, Ilikuwa kawaida sababu haikuwepo, sasa hivi ipo kuifuta ni tatizo kwa tunaotaka iendelee kuwepo.
 
Ni tatizo kwa binadamu tunaotaka tuendelee kuwepo mkuu.

Kipindi hicho hatukuwepo boss, sasa hivi tupo.

Mfano, utake kuifuta JF kwa kuhoji JF kutokuwepo miaka ya 90 kwamba mbona ilikuwa kawaida, Ilikuwa kawaida sababu haikuwepo, sasa hivi ipo kuifuta ni tatizo kwa tunaotaka iendelee kuwepo.
Ni tatizo kwa binadamu mnaotaka kuendelea kuwepo kivipi wakati hata nyie hamtakuwepo miaka 70 mbeleni? Mtaathirikaje??

Kufungwa kwa jamii forum ni tatizo kwa sababu nitakosa chanzo pekee huru cha habari, taarifa, Elimu na burudani kilicohabaki cha Kitanzania.
 
Ni tatizo kwa binadamu mnaotaka kuendelea kuwepo kivipi wakati hata nyie hamtakuwepo miaka 70 mbeleni? Mtaathirikaje??
Tutaathirika kwa kujua kuwa uzao wa binadamu unakomea kwetu ilihali tulitaka wengine waendelee kuwepo.

Kufungwa kwa jamii forum ni tatizo kwa sababu nitakosa chanzo pekee huru cha habari, taarifa, Elimu na burudani kilicohabaki cha Kitanzania.
Habari za JF unazitaka za nini na miaka 70 mbele hutakuwepo? Babu yako aliyefariki ananufaika nini kwa wewe kuhangaika na JF sasa hivi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom