Yaping Xi Laan
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,251
- 2,447
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke, hakuna anayenipa stress nipo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.