Bora kuwa single!

Bora kuwa single!

Wewe unatatizo la kimkakati na sio kwamba una msimamo wa maana🚮🚮View attachment 3558125
Usisahau pia alisema hadindishi vizuri kwa sababu anakula sana nyeto. Bila nyeto huenda angekuwa na mtoto
Screenshot_20260316-210921.png
 
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke, hakuna anayenipa stress nipo zangu naenjoy life.
Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
HANITHI MKUBWA
 
Umejikatia tamaa mwenyewe unataka kuamisha watu uko sawa kumbe moyo unauma.Ndo nyie mnakutwa mmejitia kamba
 
Alaaah! Kumbe we shoga!!?
Hayo mamlaka ya kuropokaropoka kuhusu mambo ya wanaumme rijali nani kakuruhusu??

Sasa nasema hivi, ulitakiwa upate mume wa kukushughulikia ipasavyo kabla "makebo" hayajalegea.
Sasa na umri huo wa 46+ bado una matarajio ya kudangisha kundu lililo legea.
BlackBold
 
Poor social development kumbe ndio sababu, unahitaji serious counselling toka kwa psychologist au psychiatrist anayejua kazi yake sio hawa wa kudesa
Najitolea kumfanyia counselling nikiwa na vifaa maalum asante
 
Hiyo hali wewe haikupi shida kuona umechelewa
Sijamaaanisha nina miaka 35, nimemaanisha kwa mwanaume kuoa akiwa na miaka 35 siyo mbaya, ila isizidi 35, kwa wewe mwenye 32, oa hata mwakani.
 
Sijamaaanisha nina miaka 35, nimemaanisha kwa mwanaume kuoa akiwa na miaka 35 siyo mbaya, ila isizidi 35, kwa wewe mwenye 32, oa hata mwakani.
Ikizidi itakuaje?
 
Okay.
Sisi wanafalsafa tunasema Attractions is dynamic
Suala la time ni factor muhimu na yalazima kwenye mambo karibia yote.

Unaniona mimi.
Naweza kuwa nakuvutia wewe hata kama hukiri na kuvutia wanawake wengine kwa wakati huu. Lakini hali hiyo haitadumu. Ni Jambo la wakati tuu.

Hata humu husikii watu wakisema au wakimuambia MTU umepoteza ushawishi au mvuto. Sio kwamba amepoteza bali muda umempita.

So binti Yangu, kama bado hujaolewa, lakini vijana Wana sarandia, huu ndio wakati wa kufanya best choice. Pakiwa na machaguo mengi.
Siku sio nyingi rate itapungua na watabaki kukufuata wale wasio na vigezo unavyovitaka.

Ikiwaka unamulika. Ikizima unapapasa. Ndivyo watibeli tulivyo
Watibeli ni wakina nani?
Na tafsiri ya Taikon ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom