Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 59,179
- 95,691
Kuna tatizo gani binadamu wakitoweka ulimwenguni mkuu?!Hizi DNA za kichoyo zinatakiwa zisiwepo kwa wingi duniani maana zitapelekea binadamu kutoweka ulimwenguni.
Kama huna hitilafu ila husaidii kuendeleza vizazi vijavyo it means uwepo wako unakua unakomea kwako by choice. Uchoyo wa kuwapa wengine nafasi ya kuwepo ulimwenguni.
Halafu hakuna mtu anayetaka ili watu waendelee kuwepo ulimwenguni au eti ili kizazi cha binadamu kisitoweke duniani, kila mtu anazaa kwa sababu zake binafsi ambazo ndio ubinafsi wenyewe.