Bora kuwa single!

Bora kuwa single!

Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life. Nnacho mshukuru mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria,kiuwezo np vzr.Ila mahusiano no sitaki kuwazwaz Na mwanamke hana faida yeyot,kama nikupika napika ten msosi mtamu,hata n kama n watoto siwatak maan hawana msaad wowote kwang,kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda
Hahahaha eti okoa kibunda.
Na vipi ikatokea sasa ambaye anataka umuoe naye kibunda anacho na hana shida na kibunda chako kikwazo itakuwa nini hapo
 
Hili ni tatizo japo inawezekana hulioni.. Lilianzia ulaya likaingia bara hindi kwa kasi sasa naona limeshawasha indicator Africa!
Imagine wazazi wetu wangekuwa na mitazamo kama hii!
Sio tatizo ni uamuzi tu,
Kama wazazi wa watekaji wote na mafisadi wangeafanya maamuzi kama haya Tanzania ingekuwa mahali bora zaidi pa kuishi leo hii.
 
Asili yake wapi bwashee ? Huyo tatizo lake ni kuwa wadada wanamnyima

Utakuta alizaliwa peke yake, au with brothers only na wazazi hawakujua ili mtoto akue vyema anatakiwa kuchanganyika na wa kike kuondoa tofauti, ndio maana wazazi wetu wa zamani walifanya extended families, utaishi na mashangazi, mama wadogo, wajomba, utaenda kwao wao watakuja ili mradi ujichanganye, na wazazi wanajua kbs sometimes wototo wanakulana na ndugu zao lakini wanajua hawana madhara hadi hapo watakapokuwa na sauti ya bass na ndevu ndo wazee wanaanza kuwa wakali kwa wakubwa ili waende nje sasa.

Then shule pia akawa anaogopa au anajitenga na wasichana kwa kuendeleza ya kwao, na pia labda akasomea boys, sijui kama bado kuna boys schools lkn zinaathiri sana social development ya watoto, kumbuka miaka ya nyuma shule za boarding za boys au girls ilikuwa lazima watolewe kwenda shule za jirani kusocialize na opposite sex na walimu wanajua kbs wanafunzi wanaochangamka wanakulana kabisa ndani ya sekunde na wasiofikia hatua hiyo watakumbatiana, watapiga story, watapiga picha, etc yote haya yana mchango mkubwa sana katika makuzi
 
Hawa ndio wale hufia chumbani pekeyao

Afadhali afie chumbani kwake pekee kuliko kuanza kuhudumiwa na mama/dada kumuogesha na kumbadilisha nguo. Hawa ndio baadaye wanageuka kuwa mizigo kwa ndugu na kuwapa sonona wazazi wao, wazazi waliwaogesha na kuwabadilisha nguo wakiwa watoto, wanafika miaka 50 na zaidi wazazi wanaanza kuwahudumia upya kama watoto. Huzuni sana kwa wanafamilia.

Vv
 
Mimi nlipo nna miaka 46 sina mtoto wala mke,hakuna anaye npa stress npo zangu naenjoy life.

Nnacho mshukuru Mungu mm sio mlevi wala mwanakamaria, kiuwezo nipo vizuri. Ila mahusiano no sitaki kuwaza. Na mwanamke hana faida yeyot, kama nikupika napika ten msosi mtamu, hata kama ni watoto siwataki maan hawana msaada wowote kwangu, kataa ndoa\mahusiano okoa kibunda.
Hizi DNA za kichoyo zinatakiwa zisiwepo kwa wingi duniani maana zitapelekea binadamu kutoweka ulimwenguni.

Kama huna hitilafu ila husaidii kuendeleza vizazi vijavyo it means uwepo wako unakua unakomea kwako by choice. Uchoyo wa kuwapa wengine nafasi ya kuwepo ulimwenguni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom