Jaribu kucheki na wauza vitabu wa dar, mimi nilikinunua kariakoo kwa muuza vitabu aliye karibu na Club ya Simba. Jaribu kwa wauza vitabu mbalimbali mkuu. Mi kuna mtu nimemuazima, naona anagoma kunirudishia.VIP mkuu hicho Kitabu kinapatikana wap nami nahitaji
Vipo, tafuta bookshop kubwa za DarHivi hii kitu bado inapatikana kweli?
Jaribu kucheki na wauza vitabu wa dar, mimi nilikinunua kariakoo kwa muuza vitabu aliye karibu na Club ya Simba. Jaribu kwa wauza vitabu mbalimbali mkuu. Mi kuna mtu nimemuazima, naona anagoma kunirudishia.Mkuu tafadhali naomba namm hizo contacts ili nipate hiyo collection ya "jitambue" ya Munga Tehenan MUNGU amrehemu sana,.magazeti yake ya jitambue na mshauri wako ninayo mpka leo(baadhi)kwa kumbukizi zake zisizochosha na kuisha hamu alikuwa na vitu adimu saana..
HahahaaaWengine huwa wanasoma tu Fonti Fedi
Wewe mwenyewe ushawahi kuandika au huna cha kuandika!?Mimi sio ngwini hay ni maneno yalisikika kutoka kwa the so called "mwanasayansi". Hivi Kuna hata mmoja ameabdika short stories za inspiration.
Achana na mimi katafute likes kwenye Uzi wako.Wewe mwenyewe ushawahi kuandika au huna cha kuandika!?
Yaani wewe ni scholar! Dah sasa mbona kule umeongea vitu ambavyo hata darasa la saba hawezi kuachangia! Mungu atusaidie kwa kweli.Achana na mimi katafute likes kwenye Uzi wako.
Frankly I have two papers in accredited journal concerning on Science and Engineering.How about you dude?Unabahati natumia anonymous name ningekupa link google scholar.
Kumbe nabishana na zuzu.Hujui hata "Google Scholar". Mwanzo Na mwisho don't quote me in your nonsense.Yaani wewe ni scholar! Dah sasa mbona kule umeongea vitu ambavyo hata darasa la saba hawezi kuachangia! Mungu atusaidie kwa kweli.
Nashukuru mkuu
Nakipataje