Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Dah kwenye list yako nimesoma
1. A time to kill watched the movie too
2. Street Lawyer
3.The Pelican brief watched the movie too
4. The Runaway Jury watched the movie too
5. The Partner
Ongeza hapo.. The Litigators.

James Hadley Chase vipi umemsoma? Nadhani nishasoma zaidi ya 20 za Chase.
 
Em lets put the bullshit aside
Nipe novel yenye story nzuri ambayo itablow my mind...
Kitabu kiwe na suspense,romance,comedy,conflict,betrayal,climax,resolution, unpredictable and it has to have a happy ending.
Hivo vitabu vya inspirational speaking,history,true story,educational peleka shuleni na kanisani.
 
Soma hiki

I Hold The Four Aces - James Hadley Chase.
 
Em lets put the bullshit aside
Nipe novel yenye story nzuri ambayo itablow my mind...
Kitabu kiwe na suspense,romance,comedy,conflict,betrayal,climax,resolution, unpredictable and it has to have a happy ending.
Hivo vitabu vya inspirational speaking,history,true story,educational peleka shuleni na kanisani.

Romance- The black door simkumbuki mwandishi
Story- Any book from John Grisham itakufaa
 
Ninazo paperback baadhi ila nyingi ni pdfs. Paperbacks nyingi nimeazimisha hazikuwahi kurudi siunajua wabongo akiona novel anajidai na yeye anapenda kusoma ukimpa hata hajui kaweka wapi maana hana kipaji cha kusoma.
Haa haaa!
Umenikumbusha jamaa yangu flani sio msomaji wa vitabu ila mpenda mastori ya siasa na wanasiasa, alinikuta na kitabu cha World's Grand Speeches akaona hotuba ya Winston Churchill ndani yake kang'ang'ania nimuazime. Kisa aliwasikia wabunge na wanasiasa wengi wa kibongo wanamtaja na kumnukuu bungeni.
Nilimkatalia sababu nilijua hatanirudishia na hata kisoma mwisho atakipoteza tu.

Nimepoteza vitabu vingi sana kwa mtindo huo.
 
Hahaha mimi nina madogo zangu huwa nawahasisha sana kusoma vitabu nawa motivate hata kwa kuwaambia tushindane lakini wanakwamia page ya pili.

Nikagundua ni kipaji sio kila mtu anaweza kusoma japo mtu akiwa na nia anaweza.
 
Yeah ni kipaji.
Mimi nilijikuta napenda kusoma vitabu tangu nikiwa mdogo kabla ya grade 1, mzee wangu nae ni mpenda kusoma vitabu.
Alikuwa na shelve kubwa la vitabu vya kila namna kwenye home library.
Hapo ndio nilisoma vitabu vayke vya James Hardley chase, vile vya James Bond, n.k.

Nilikuwa namuona anapiga miwani yake, anawasha smoking pipe, huku ana kikombe cha chai au kahawa pembeni, anasoma kitabu akiwa katulia kwenye lazy chair.
Hapendi kusumbuliwa na maswali au kitu chochote muda huo.
Nilivutiwa sana na ile hali, basi nami naingia ndani naenda kuchukua vitabu naangalia picha tu kabla sijajua kusoma.

Mpaka kufikia grade 3 nilishakuwa member wa library.
Grade 6 nilikuwa regular member wa library naitwa kutoka shule kwenda kuongea na wakaguzi na wafadhili wa elimu ambao walikuwa wanahusika na kusaidia miradi ya elimu hasa maktaba, nadhani ni Canadians wale wazungu.
Walikuwa wanachukua maoni ya member wa library.

My brothers karibu wote hakuna mtu anae pendelea kusoma sana vitabu, labda iwe kwa ajili ya kazi au shule.
Kwa mara ya kwanza bro wangu anajua kuhusu computer alisoma kwenye moja ya vitabu nilivyo azima library miaka hiyo.
Akaenda kufanya ile morning speech shuleni kwao kuhusu teknolojia ya computer na itakavyo leta mabadiliko, alionekana genius sana na kupongezwa shule nzima.

Aisee .. old memories sio mchezo!
 
Sasa hivi nasoma Fooled By Randomness, by Nassim Nicholas Taleb. Humo pia mna vitabu vingine vinavyopendekezwa kusomwa. Quite enlightening. Nasoma pia The Intelligence Trap: Why Smart People Make Dumb Mistakes, cha David Robson.

Next in line ni: Fashionable Nonsense, cha Alan Sokal; fingers crossed.
 
Back
Top Bottom