Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?


issa mweusi

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
1,497
Points
2,000
issa mweusi

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
1,497 2,000
Safi sana mwanajamii Kwa kuona hili
 
KORBOTO

KORBOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Messages
1,698
Points
2,000
KORBOTO

KORBOTO

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2014
1,698 2,000
A coffin from Hong Kong
Marlow
Have a nice night
Just a matter of time
Come easy go easy
By: James Hadley Chase
kwenye list yako embu ongeza hichi

The perfumed garden
 
S

Shushani Ngomani

Member
Joined
May 28, 2017
Messages
29
Points
45
S

Shushani Ngomani

Member
Joined May 28, 2017
29 45
NIMEUPLOAD KITABU KITAMU KINAITWA PAMBANO KUU. KIMEANDIKWA NA MAMA MMOJA ANAITWA ELLEN NILITUMIWA NA RAFIKI YANGU. AISEE NI KIZURI SANA HASA KWA WALE CRITICAL WA MASWALA YA IMANI NA DINI. MIMI BADO NAKISOMA NAELEKEA KUELEWA KIDOGO. KARIBUNI
 

Attachments:

N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,357
Points
2,000
N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,357 2,000
NIMEMALIZA KUSOMA nothing left to steal by Mzilikazi wa Afrika;now ninakisoma good morning Mr.Mandella by Zelda la Grange,greats books ,long walk to freedom,Mandella its a cherry on top of a cake.
 
KANYIMBI

KANYIMBI

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Messages
402
Points
250
KANYIMBI

KANYIMBI

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2011
402 250
Book 'Be employed with plan B in mind' - By Elizabeth C. Samoja
 
Diwani

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Messages
1,421
Points
2,000
Diwani

Diwani

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2014
1,421 2,000
jita,
Pia nasoma SITAOGOPA KUPELEKA INJILI KATIKA NCHI ZA KIKOMUNISTI.

Mimi si mtu mwenyemitazamo ya kidini ila hiki kitabu nimekivulia kofia. Ni simulizi ya kweli kumhusu Rudolf raia wa Uswisi na harakati zake huko Asia, Uerope, na pia hapa Afrika.....hii ni miaka kablda ya uhuru wa nchi nyingi Afrika na baada ya uhuru pia.

Ukisoma hiki kitabu hutotamani ukimalize. Najiwazia hapa kila kijana angekuwa na moyo wa Rudolf mambo mengi sana yangetima katika life ya vijana.
kitabu ndio kinaitwa jina hilo?
 
Diwani

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Messages
1,421
Points
2,000
Diwani

Diwani

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2014
1,421 2,000
From Babylon to Timbuktu, by Rudolf Wisdor
it traces the cradle of mankind.
 
Mr Miller

Mr Miller

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
10,878
Points
2,000
Mr Miller

Mr Miller

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
10,878 2,000
its-possible-book-cover_-jpg.537315
mwenye softcopy ya hiki kitabu tafadhari....
 
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Messages
6,673
Points
2,000
bushland

bushland

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2015
6,673 2,000
Hiki cha Maisha na Mafanikio sio cha Munga. Collections ya kazi za Munga zimetengenezewa kitabu kinaitwa ''Jitambue''. Nilkinunuaga Kariakoo kwenye meza ya wauza vitabu. Ntakuangalizia kama kuna Contacts mle then ntakutumia kiongozi. Ntaku-pm my number kwa mawasilaino zaidi.
VIP mkuu hicho Kitabu kinapatikana wap nami nahitaji
 

Forum statistics

Threads 1,284,085
Members 493,941
Posts 30,812,435
Top