Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
6,971
2,000
Wanajamvi:

Binafsi ni msomaji wa vitabu mbalimbali vya maudhui ya jumla (general knowledge), lakini bado naamini kuna vitabu vizuri na watunzi wazuri ambao sijapata kusoma vitabu vyao. Kwa mantiki hiyo ninapenda kutumia post hii kuwaomba wasomaji mbali mbali wa vitabu kutoa orodha ya vitabu mbalimbali ambavyo wamebahatika kuvisoma na vina maudhui yanayoweza kumsaidia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla.

Binafsi nimeweza kusoma vitabu vya hawa watunzi (Author):

Stephen Norman Pearl - Stay Alive, e.t.c
Malcom Gladwell - Outliers, e.t.c
Napoleon Hill - Think and Grow Rich, e.t.c
Alireza Azmandian - THINK Yourself Successful, e.t.c
Steven Covey - The 7 Habits, The 8th Habit, e.t.c
Jim Collins - From Good to Great, e.t.c
Robert Kiyosaki - Rich Dad, Poor Dad, e.t.c
Robert Greene - The 48 Laws Of Power, e.t.c

Na vinginevyo vingi

Je wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu, na je mwezi mmoja uliopita umesoma kitabu gani au vitabu gani?

Naomba tu-share kwa mantiki ya kushawishi kuwapo na wasomaji wengi wa vitabu
 

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,995
2,000
Big up!

Nimesoma kitabu HOW TO MAKE DECISIONS ABOUT PEOPLE -Cha Charles A. Dailey & Fredrerick C. Dyer.

Kitabu kingine ni A MATTER OF TRUST-Emily Doyle
 

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
225
kama inawezekana kupata soft copy za baadhi ya hivyo vitabu mnaweza mkatuwekea wakuu
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,768
2,000
Mwenye soft copy ya kitabu cha secret naomba, nilikisoma kama miaka miwili hv iliyopita. Nahisi nakihitaji tena.
'Thanx in advance'
 

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,743
0
Marimba ya Majaliwa cha edwin semzaba,MIRAD BUBU YA WAZALENDO CHA GABRIEL RUHUMBIKA......
Zote ni riwaya
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,052
2,000
Going through the hits and misses in the current "The Economist". Some shocking juxtaposition of the Nigerian dilemma in the wake of a full Jonathan term.

Also reading something from the quasi-religious barely credible pseudo-scientific spectrum of believability, just to cultivate an openmindedness. The premise is pre-Gallilean/Copernican but the delivery and informational meat, especially explanation of the ancient origins of scientific/ religious thought, plus a reasonably learned presentation of arguments is worth the time.

The title is "The View From The Center of The Universe: Discovering Our Extraordinary Place in The Cosmos" by Joel R. Primack and Nancy Ellen Abrams.

And of course some dry professional certification door-stopping tomes. Just my luck.
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,586
2,000
Nimesoma GREAT EXPECTATIONS cha CHARLES DIKENS, ZOE, MALICE vya danielle steele.

Vitabu vya ki nigeria vivyopo kwenye AWS yaani african writers series kibaaaao ni vizuri saaana Agoro Anduru akina Emmanuel Makaidi baada ya kisa mkasa kuna vile vya kina Ben Mtobwa ila natamani saana nipate vile vitabu vya zamani vya tujifunze kusoma vya kina wagagagigikoko na mfalme huhihuhi.

Kuna kimoja kinaitwa mbuzi aliyetaka kuwa simba. very fun hivyo vitabu
 

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,619
1,225
LEADERSHIP - Jack Welch
DRIVE - Robert Herjavec
FLIP - Peter Sheahan
SIX SIGMA - Greg Brue and Rod Howes
 

Eric Cartman

JF-Expert Member
May 21, 2009
6,815
2,000
Binafisi I haven't done much reading recently hila the last book to get me grasped was 'Bush At War' by Bob Woodward. Its a good read as the author gives finer details of the accounts and he knows the power structure inside the white house, congress and the national security.

Its all in this book; power struggle, decisions to why Afghanistan had to be invaded if Iraq was to be invaded and how the war was won in a short time but people like Ramsey and Chiney wrong footed Bush to abandon his initial ideas.

By the time you finish this book you'll come to conclusion bush is no dumb and he predicted a long war way before it started it for you to find out his argument bila ya kukutolea uhondo wa kitabu.
 

Obhusegwe

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
231
170
The White Man's Burden: Why the West's Efforts to Aid the Rest Have Done so Much Ill and so Little Good by William Easterly

Africa Doesnt Matter: How the West has Failed the Poorest Continent and What we can do About It by Giles Bolton

Nimevipenda mbali na kuwa hicho cha pili sijakimaliza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom