Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,364
- Thread starter
-
- #41
Amechagua wimbo ngumu na bado akashindwa kuimba.. performance yake ya j2 ilikuwa mbaya kiukweli.Sio kweli kwenye waimbaji wote wale Saint Anne hakuna anayemfikia Praise kwenye uimbaji ni vile tu nyinyi hampendi nyimbo za kiingereza, nyimbo anazochagua kuimba yule dada ni ngumu kama vocal yako ni ya kawaida
Hamfikii Bellamy freyaPraise anajua ile mbaya yule dada anaimba nyimbo ngumu alafu anaifanya iwe rahisi ambayo kama una sauti ya tia maji tia maji lazima ikushinde
Sofia wiki hii amekaza kafanya vizuri sana.Praise inaonekana wazazi wake wapo jiran sana na madama ritha
Belanuts nahisi ananyota ya kupendwa zaid
Ila kale kadada kanakochana kanajitahid SANA NAKAOMBEA KACHUKUE TAJI KABISA
Praise hajawahi kuharibu kabisa wewe umepima kitu gani mpaka useme performance yake ya juzi ni mbaya?Amechagua wimbo ngumu na bado akashindwa kuimba.. performance yake ya j2 ilikuwa mbaya kiukweli.
Hivi umejaribu kusikiliza Freya?
Yeye pia anaimba kiingereza tangu ameanza.
Ila uwezo wake huwezi kumlinganisha na huyo dogo..
Mshindi wa BSS mwaka jana alikuwa anaimba sana kiingereza pia
Na alishinda na nilikuwa fan wake.
Hatumsemi Praise Kwa sababu anaimba kiingereza
Ishu si yeye kuimba kiingereza
Ishu ni juzi aliboronga.
Kwa waimbaji wote wa BSS hakuna hakuna anayemfikia Praise kwa kuimba sio huyo pekee kitu pekee ambacho nataka nimuone akiimba nyimbo hizi za bongofleva ana sound vipiHamfikii Bellamy freya
AliharibuPraise hajawahi kuharibu kabisa wewe umepima kitu gani mpaka useme performance yake ya juzi ni mbaya?
Basi kila mtu abaki na mtazamo wakeKwa waimbaji wote wa BSS hakuna hakuna anayemfikia Praise kwa kuimba sio huyo pekee kitu pekee ambacho nataka nimuone akiimba nyimbo hizi za bongofleva ana sound vipi
Yah inabidi kila mmoja abaki na mtazamo wakeBasi kila mtu abaki na mtazamo wake
Kwangu mimi freya ni mkali
Vocal range yake, keys zote anaweza kuinga, iwe juu au chini anaweza.
Mpangilio wake wa uimbaji
Na Hana mbwembwe sana.
Hebu niulizie Binti yangu anataka kwendaSijui wanafanyia wapi ila hufanyika siku ya Alhamis.
Nitajaribu kuuliza ila wengi ni waalikwa maalumu
Akipunguza mbwembwe zake atakuwa mkaliYah inabidi kila mmoja abaki na mtazamo wake
Jioni ijumaa sijui jmosi sijaelewa hapo.Kiingilio hakuna
Hard pro HQ
Mbezi majogoo
Jioni Ijumaa sijui jmosi
Siku sijajua vizuri kama ni ijumaa au jmosiJioni ijumaa sijui jmosi sijaelewa hapo.
Teenagers wanaruhusiwa na hakuna violence?
Sawa kipenziSiku sijajua vizuri kama ni ijumaa au jmosi
Ila ni huko mbezi mqjogoo studio za hard pro
Na last time ilikuwa June 12.
Kuhusu umri wa wanaoruhusiwa kuingia sijui.
SanaPamoja na yote ila BSS ya mwaka huu ni ya moto 🔥 🔥 🔥 🔥
Ila yule bonge mkongo ni hatariSana
Washiriki wote wanapambana sana